:grouphug: Sina choyo nawahug wote hadi asprin mwenyeweKuna vyeo vifuatavyo ambavyo ni vya kudumu na hakuna mwenye mamlaka ya kuvijadili
1. Mjukuu Mtiifu - MwanajamiiOne
2. Mjukuu Mteule - afrodenzi
3. Mjukuu Mwaminifu - Cantalisia.
4. Fellow Tablet - klorokwini
5. Dada mnoko - Nyamayao
6. Hommie - Kaizer
7. Shem wa ukwee AshaDii
8. Mchumba - Zion Daughter
9. Asali ya ODM Kongosho
Paw
Hiyo signature yako mh!! Nadhani mlengwa amekupata vilivyo. Ungekuwa mzee wa MMU ningewezatengenezea hadithi hiyo signature but IT, mie huko ni giza kabisa. Zaidi ya kubofya key board (nayo si sehemu ya IT??) ni mweusi kabisa.
SnowBall, jouneGwalu, Eiyer, Mwita Maranya, Asprin, mwanjamiione, BADILI TABIA na nyumba kubwa .......
I cant let this thread pass:
wapo wenzangu hasa wa MMU tuliokua na ambao bado tupo karibu since April 2008 nilipokua MTM
wapo wale tuliojenga ujamaa zaidi ya JF na ni wengi zaidi ya 50, I am blessed
wapo tulioenda mbali zaidi na kusaidiana katika kazi, biashara na hata kwenye shida na raha... nimehjudhuria sherehe, misiba, vikao nk. vywa wana JF, majority wakiwa MMU
wapo tuliosaidiana kimawazo kwenye siasa, uchumi, investment n.k
Lakini pamoja na yote hayo, wapo ambao husimama kama outstanding and influential people in life ambao tumekutana JF... in a positive way and negative way!!! about 99% ni positive, ila wapo wachache, ambao kama kawaida kwenye jamii, walijaribu kutumia kujuana kwetu either kufanya character assassination, au hata kujaribu kupanda mbegu ya bad image kwa watu wengine, pengine kutokana na insecurity au kutokujua tu
ALL IN ALL, YUPO MEMBER NIMUONAYE KAMA LUCKY CHARM YANGU.... KILA TULIPOKUA TUKIKUTANA KUPATA STORY, BASI NILIPATA SOMETHING OF A SURPRISE IN MY LIFE, INCLUDING THE CURRENT JOB I AM HAVING
KUDOS MMU, KUDOS JF
nilipokua MTM
......Katika hiyo list hapo juu… Kuna members I Love, Kuna members I respect, wale ambao I adore, wale ambao genuinely wanafurahisha na kuchekesha na kufanya siku blue zi bloom iwe kwa kushiriki ama kuwasoma, kuna wale bado nawasoma, kuna wale I enjoy discussing with. Hayo yakiwa machache ya mengi ambayo Napata hapa. Na hizo ni baadhi ya sababu I really appreciate kuwa JF Member...
Pamoja Saana with Love,
AshaDii.
P.S:- Ngabu mbona unaniwekea kiwingu cha kuitwa genious?:becky: (Lol!
Ahsante sana Bro.
Nabarikiwa kwa namna ya pekee sana mara zote napata andiko lako........
Kumbe wwe ndiye MTM wa zamani??
:yield: Mie namshukuru na Mpolee bana kwa niaba ya wanaMMU wote:behindsofa:
Uchakavu wanaanza kulipia wenye miaka 22
Nitakukaribisha kwangu Tandale, ni mdundiko kwa kwenda mbele
Ha ha ha, ila sura nafanana na babu yake baba yangu, usije kimbia tu
Nipo mchumba. Kuna mtu alining'ata sikio kwamba tuko watatu kwenye waiting list bado unatufanyia utafiti kujua nani anakufaa kuwa mwenza wa maisha. Sasa nikaona nitulie kidogo kupisha utafiti. Kama ilikuwa ni kweli unijulishe ili nijue naanzia wapi.
Afu nimekumisije!? babu yako Asprin nae siku hizi hasomeki sijui amevurugwa na nani!?