sayoo
JF-Expert Member
- Nov 19, 2014
- 5,271
- 7,874
Ww huna heshima hata kidogo , unajifanya sijui et mumeo anawaza vitu vikubwa , umeshasema huwezi muhandle mumeo , huwezi kumthamini mtu ambaye hana shukuraniKaoe type yako mkuu unaoendana maono Sasa Karne hii ya 21 unabebewa maji kwa ndoo bafuni ka si ushamba nini?
Mume wangu awaze vitu vikubwa vya kimaisha sio kuwaza mie nimubebee maji kwa ndoo maana hapo bado tutakuwa tunaishi kwenye poverty line