Sijaoa ila naishi na pepo juzi nmesafiri tu kauza Friji narudi nauliza naambiwa nmeongezea naagiza cm hiv ndugu zangu ni sawa ..nahitaji kuanzisha Uzi ili mnipe ushauri wakuu...sijui niendapo.
kweli unaishi na pepo la umaskin
 
Wapo wanaume hawana shida mke akimzidi kipato.

Wanaume wanaojielewa...wanaojiamini...na wanaojua kuwa wao ni kichwa always......

Kuna wanaume wanapambana kuhakikisha si tu ndoto zao zinatimia...bali hata ndoto za wenza wao zinatimia....wanakuwa huru kwenye kipato


Ila kama ni hawa wanaume tia maji tia maji...hawajiamini...watataka always mwanamke asiwe na kipato....asiwe na kazi na kama anayo iwe ya kipato kidogo....hawa ambao hata kufua nguo hafikirii namna ya kubadilisha maisha anujue hata mashine ya kufulia... hawa ambao binti wa kazi akimwandalia chai tu anahisi binti anajua ratiba yake kuhusu mkewe.....

Itateseka sana.........


Kama ni coperate lady olewa na alpha males (in Karucee voice..... hawa wengine utaishia kuonekananuna kiburi jeuri na humuhudumii kwa kuwa tu ulibanwa na kazi yenye deadline binti wa kazi akapika chakula....(ika ndio hawa hawa wanaopangia hesabu mpaka mishahara ya wake zao)
Maneno kuntu haya
 
Sasa za akina nani sio OG?
Na kuridhika mmeridhika si ndio? Kufua vipi hamsaidiani?
Mbususu za pisi kali zina walakini sana hizi pisi kali ndio zinatuwekea sheria za 50/50 na sisi tumegoma hatutaki, Ila hawa wenzetu wa kienyeji OG kabisa tunawasaidia majukumu ya jikoni mara moja moja tukijisikia na hawatubanii popote
 
Utaratibu ni ule ule fasten your belts maswala ya kujifanya nati tutaendelea kuwakaza tu!

Sie ndio baba zenu for now mtake msitake ongezeko ni kuliwa mbunye tu!
Hatuna tatizo kabisa, mbunye kazi yake ni kuliwa. Ila haya mengine tusaidiane jamani khaaah!!
 
Mkuu ndoa yako haiwezi vunjika sababu umejua jinsi ya kuishi na mwanamke wa hiki kizazi cha dotcom. Yani kuna vitu ni very irrelevant kwenye ndoa wanaume wanakazania wafanyiwe ilihali havina tija. Ungekua hujaoa ningekupa hata mdogo wangu maana asingeteseka na hawa wa kutaka kuabudiwa.
Mpe tu huenda akampoza machungu
 
Wewe si unatufananisha na nani sijui yuko wapi huko na akirudi nyumbani jikoni anaingia. Sasa mbona nyie ndugu yenu Manji na Mo mnamkataa jamani sio vizuri ujue
Wale wametolewa kama kielelezo cha kukazia hoja! 😅

Ntakupiga na kitu kizito usifananishe na kina Mo😅 hujui hii mvua ambavyo inanichapa time hii! Af atokee kenge anajidai kupika hawezi eti sababu katoka kazini😅
 
Hata Mimi nashangaa huyo mwanamke mjinga sana kila siku YouTube zinafundisha upishi yeye nimama wa nyumban hata kupika kunamshinda duh ajabu kwel
Wamama wa nyumbani huwa wavivu na wazito kichwani, Mimi mwenyewe siwezi kukaa tu nyumbani nisubirie kuletewa kila kitu, ndio maana hata majukumu madogo yana mshinda amekukuwa ka kuku wakisasa
 
Ndio tupambane na huu umasikini jamani shida ndogo ndogo zituondokee........
Na mapambano ni hatua
Muunganishe nguvu na mkeo mtoke chumba kimoja migomigo...... mpaka ka selfu

Kisha mnaunganisha nguvu mpambane mpate hata chumba na sebuke yenu huko vikindu (kuna umeme umeme)

Then muunge nguvu mtafute hayo ma gagets

La sivyo mtaona mnadharauliana tu na kuleteana makasiriko!!!!!!

Nb
(Unajua mkeo akivunja kikoba faida inatosha kujujua used machine??? Ila sasa inategemeana na mahusiano mlonayo ndani))))
Unapoongea haya ukumbuke kuwa vijana wanaooa wake sahizi wengi hawana maisha ya Yusuph Bhakressa wala, Mo Dewji ama Reginald Mengi!

Hayo ma gadgets na mavitu kibao utayaweka wapi ikiwa umepanga zako Magomeni mwembechai? Kazi yako ni boda boda hebu tuangalie maisha in wide dimensions kidogo tusiangalie kama vile wote ni wakazi wa Masaki na Oysterbay!

Hao waajiiriwa tu hawana life hilo! Wengi tia maji tia maji
 
Kuna wanaume asili yao unyanyasaji.
Kuna dasa aliwahi sema mumewe akimaliza kupui haflash ananawa huyo mwanamke ndo aflash.Imagine mtu wa hivyo???
Kuna wanaume wao wanachelewa kuamka lakini ataamka utakuwa umeshamuandalia chai maji nguo n.k lakini kutandika tu kitanda hawezi anasubiri mke atandike.

Yaaani mwingine mnaweza kurudi wote home saa 4 usiku inabidi useme mnunue chakula mkifika mlale tu anagoma eti apikiwe??kweli saa 4 ufike na kuanza kupika??
Yaani kina vitu vidogo vya ubinadam tu lakini vinakosesha nyumba amani.
Hadi nimeskia harufu ya nnya hapa 🥵
 
Mbususu za pisi kali zina walakini sana hizi pisi kali ndio zinatuwekea sheria za 50/50 na sisi tumegoma hatutaki, Ila hawa wenzetu wa kienyeji OG kabisa tunawasaidia majukumu ya jikoni mara moja moja tukijisikia na hawatubanii popote

Eeewalaaa!! Haya ndio maneno sasa. Ongezeni rate ya kuingia jikoni sasa.
 
Ndio tupambane na huu umasikini jamani shida ndogo ndogo zituondokee........
Na mapambano ni hatua
Muunganishe nguvu na mkeo mtoke chumba kimoja migomigo...... mpaka ka selfu

Kisha mnaunganisha nguvu mpambane mpate hata chumba na sebuke yenu huko vikindu (kuna umeme umeme)

Then muunge nguvu mtafute hayo ma gagets

La sivyo mtaona mnadharauliana tu na kuleteana makasiriko!!!!!!

Nb
(Unajua mkeo akivunja kikoba faida inatosha kujujua used machine??? Ila sasa inategemeana na mahusiano mlonayo ndani))))
Hizo hela za kikoba usishobokee maana watakuja kikosi kazi kukuzodoa 😅😅😅 hutaamini!

Mengineyo tuko pamoja
 
Back
Top Bottom