Nipo makini sana na huu Uzi naufanyia summary Kabisa maana ndio huko naelekea wakuu mniombee mm kijana mwenzenu jamani maana huko mbelen sio shwar
 
Ukiona mkeo kaanza dharau kiburi kujiona mjuaji ubishi n.k... usimruhusu akupande kichwani fukuza achana nae, wanawake wapo wengi...
 
NGOMEKONGWE2021 - Tupo wengi, kiongozi. Mie pia watoto 4 kama wewe. Miaka 12 ya ndoa. Mama wa nyumbani. Tatizo hawezi kujifunza kitu.

Kila siku ni shida tupu ndani ya nyumba. Mfano, hawezi kutoa magamba ya samaki yakaisha yote kabla ya kumpika samaki. Chakula anavyonunua kwenye supermarket, ndivyo anavyokipika!

Anaweza kupika nyama ya kuku na kinyeo chake ama bado kuna kiasi fulani cha vinyoya!! Hata nikimweleza vipi, akili yake haishiki!! Hataki niwafundishe watoto. Nikiwakosoa watoto kwa namna ya kuwafundisha, anakuja juu.

Watoto wananiona mimi shetani na yeye malaika. Amejenga chuki kati yangu na watoto ambao bado ni wadogo tu. Sijawahi kumpiga ama kuchepuka lakini nilikwisha mwambia kuwa tungekuwa tunaoa mara ya 2, nisingemuoa tena. Sina hamu tena hata ya kulala naye.
Bado kukuua tu huyo, ogopa sana mwanamke anayepandikiza chuki kwa watoto ili wasikupende...
 
Inaonekana huyo mkeo alikuzidi Elimu na kipato.! Ni hatari sana mwanamke akuzidi hivi vitu na akuheshimu kama mume.!

Ndio maisha move on.!
Kwahiyo kama amekuzidi kipato na elimu ni bora usimuoe?
 
Wadau,

Nimekuja kugundua nilikosea kuoa baada ya kukaa kwenye ndoa miaka 15 na kupata watoto wanne. Dah nilijichanganya nikaoa a Corporate lady ambaye alikuwa mwanasheria kule Arusha, alikuwa ana vihela flani na connections za watu wazito ndani ya bongo....duh acha kabisa!

Nilikuja kujuta sana manake kazi zoote na mambo yooote ya nyumbani yalikuwa yanafanywa na mabeki tatu kuanzia Kufua nguo zangu, maji ya kuoga, kupika nk alikuwa hana time kabisa na nyumba yake. Hajui chochote kinachoendelea nyumbani kwake kila kitu anabishana na kushindana.

Mtu wa vikao vya dinner karibu kila siku. Miaka ya mwanzoni nilikuwa namdunda sana sana baadaye nikapataga kesi, wakati mwingine ilibidi niingie hasara ya kumpeleka hospitali na kumhudumia manake alikuwa na watoto wadogo.

Nikaamua kuingia kwenye pombe na michepuko ili nimpuuzie. Nikawa nampuuzia kama vile hayupo na yeye akanikazia, akazidisha kiburi na jeuri nikaanza tena kumdunda nikapata tena kesi kubwa manake ilikuwa nimuulie mbali.

Sasa baadaye nikafikiria sana watoto wangu tukafikia hatua ya kuachana na kukubaliana jinsi ya kuwalea watoto. Sasa tumeweka nguvu zoote katika kuwalea watoto na hali imekuwa shwari kabisa kila mtu anaishi kivyake baada ya talaka.

Najua kuna wale watakaosema tuishi nao kwa akili. Nilijitahidi kufanya hivyo kwa miaka 15 lakini ikashindikana manake ningeishia jela baada ya kumtoa uhai na watoto wangeteseka.

Bora iwe hivi hivi wote tupo wazima wa afya.

ALAMSIKI, DUH USIOMBE KUKOSEA KUOA BORA UKOSEE KUZALIWA

KARIBU NI WADAU WENZANGU MLIOKOSEA KUOA.
Hatari sana,hapo kwenye kutoa kipigo ndio hunipa shida,maana,mie na maguvu yangu ya GYM Nitakapoamua kumpa kipigo,haki ya nani!ni jera moja kwa moja!!nimeamua kumpotezea tu,shida yake ni kazi zisizoeleweka!mala udalali,mala saloon!!,thank God naishi mbali,ningekuwa nimeua tayari,uzuri anaangalia watoto vzr,mie ndio mtoa pesa,Hilo linatosha,
 
Hakuna mtu anaekosea kuoa au kupatia kuoa KILA anaoa au olewa huwa ameona huyo ndie sahihi.Yanayotokea baada ya ndoa ndio kipimo chenyewe
 
Bila kukutana nae wasingezaliwa hao watoto. Uwepo wao duniani chimbuko ni kukutana nyenu
 
Mwanadamu ni kiumbe kinachobadilika badili leo mzuri kesho mbaya leo mbaya kesho mzuri
 
stop pretending to be innocent...
Hakuna mwanaume anayeweza kuwa anajielewa yeye akawa hajielewi,
ni very rare.
Wanawake wanaojiona wako smart ni wajinga sana lazima
ujue ukiwa nyumbani wewe ni mke haijarishi huko nje wewe ni nani.
Chanzo cha matatizo na misala mingi hapa duniani ni nyinyi wanawake,
basi ingekuwa mapenzi yangu hawa viumbe ningewafutilia mbali.
Sasa utelezi ungepata wapi mwanawane
 
Inatakiwa wakitoka kazini wote wasaidiane usiongee as if hayo majukumu ni mawili matatu tu! Kumbuka kuna kupika kuosha vyombo kufua kusafisha nyumba kuangalia watoto!
Hahahaha...
Dooh!!!
Majukumu ya Mume siyo hayo, bali ni mambo makubwa.
Labda utafute mariooo umfuge ili akufanyie hayo mkuu😊
Ingekuwa waume wanaweza hayo mambo uliyo orodhesha wasingekuwa wanaoa
 
Back
Top Bottom