Aisee. Pole sana, Hali ya kuota mapembe huwa inatokea kwa wanawake wachepukaji na kupelekea kuanza dharau kwa waume zao na kupelekea kuangusha ndoa zao.

Msingefikia hatua ya Talaka nina hakika mke wako angekuja kujirudi na kubadilika na kuwa mke baada ya kufikia umri fulani. Maana wanawake na watoto ndio wanaathirika sana mnapotengana
Eti wanawake na watoto, mimi nasema watoto ndio wanaoathirika sana

Hapo kwa mwanamke au mwanaume kuathirika inategemea na akili ya hao wawili,,,ila mke wa mtoa mada alizingua bhana hata kama uko kazini ndo ushindwe kumhudumia mumeo hata weekend's? hapana jaman mimi nakataaaa
 
Kama kuna mfanyakazi haina shida sababu yupo ili kusaidia majukumu kadha wa kadha. Ila ikumbukwe yule ni msaidizi kwahio kuna mambo madogo ambayo unaweza kuyafanya around your man kama kumtengea chakula mkala hilo halina excuse!

Shida ni ile mke kutokujigusa kabisa yani anataka kila kitu mfanyakazi afanye mpaka ambayo yanakuhusu wewe direct mwishowe mmeo anakula posho yake kwa dada wa kazi
Sasa chakula kimeiva na mko mezani siunajipakulia tu mwenyewe mkiwa pamoja wewe wachota wali yeye aweka mchuzi kwa wali au mboga za majani huku mkitaniana ndio mapenzi yananoga sana tu, kuliko kutegemea Hadi akunawishe mikono wakati sink la vyombo like dining room,I do believe tukipunguza uboss na kutegemea kufanyiwa vitu tuta enjoy sana life. Chakula kiko tayari mezani njooni tule mtu a save kinacho mtosha huku mkistorisha
 
Mbona hata town wapo wenye tabia njema na heshima , sema ww umeamua kua gume gume tu
Kaoe type yako mkuu unaoendana maono Sasa Karne hii ya 21 unabebewa maji kwa ndoo bafuni ka si ushamba nini?
Mume wangu awaze vitu vikubwa vya kimaisha sio kuwaza mie nimubebee maji kwa ndoo maana hapo bado tutakuwa tunaishi kwenye poverty line
 
kumbe wewe hutaki mabinti zako wapate treatment mbaya ila kwa mabinti wa wenzao sawa na unaita feminist ila wako wife material eeeh
Hahaha...

Tangu mwanzo mimi ninapinga unfairness.

Mwanamke first and foremost timiza majukumu yako ya nyumbani, kazi na mambo mengine ni secondary responsibilities.

Mwanaume ahudumie familia, ila ni mwiko kufanya kazi za nyumbani unless mke wako ni incapable - anaumwa au sababu nyingine ya msingi.

Mimi ninaamini hata wewe ukienda kwa mwanao wa kiume ukute anapika, anadeki, n.k. na ameoa hautafurahia... Sasa kwanini unataka kumfanyia hivyo mtoto wa mwanamke mwenzio?

Hebu play fair bhana...

Note: Acheni kuwajaza kichwa eti ni gentlemen, sijui wapo romantic wakati deep down mnajua kabisa mnawageuza mabwege na mnawadharau kimyakimya. Haha
 
Sasa chakula kimeiva na mko mezani siunajipakulia tu mwenyewe mkiwa pamoja wewe wachota wali yeye aweka mchuzi kwa wali au mboga za majani huku mkitaniana ndio mapenzi yananoga sana tu, kuliko kutegemea Hadi akunawishe mikono wakati sink la vyombo like dining room,I do believe tukipunguza uboss na kutegemea kufanyiwa vitu tuta enjoy sana life. Chakula kiko tayari mezani njooni tule mtu a save kinacho mtosha huku mkistorisha
Sawa kama kipo mezani ila meza haijaandaliwa kabisa na mke kajinyoosha anataka mume akajipakulie
 
Hahaha...

Tangu mwanzo mimi ninapinga unfairness.

Mwanamke first and foremost timiza majukumu yako ya nyumbani, kazi na mambo mengine ni secondary responsibilities.

Mwanaume ahudumie familia, ila ni mwiko kufanya kazi za nyumbani unless mke wako ni incapable - anaumwa au sababu nyingine ya msingi.

Mimi ninaamini hata wewe ukienda kwa mwanao wa kiume ukute anapika, anadeki, n.k. na ameoa hautafurahia... Sasa kwanini unataka kumfanyia hivyo mtoto wa mwanamke mwenzio?

Hebu play fair bhana...

Note: Acheni kuwajaza kichwa eti ni gentlemen, sijui wapo romantic wakati deep down mnajua kabisa mnawageuza mabwege na mnawadharau kimyakimya. Haha
Hahahaha ukiwaambia hawa watu humu kuwa watoto wao wakioa watafurahia kukuta wanakunishwa nazi utaona watakavyo ng’aka!😅😅😅

Wamama wengi tu wivu wao utaskia mwanangu halagi maboga 😅 toka anakuwa huwa hayapendi we unampikiaje!?
 
Back
Top Bottom