Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 73,925
- 225,894
Ninafaa kwa mwanaume ambaye ni matured na si mshamba aisee
Ninafaa kwa mwanaume ambaye ni matured na si mshamba aisee
Eti wanawake na watoto, mimi nasema watoto ndio wanaoathirika sanaAisee. Pole sana, Hali ya kuota mapembe huwa inatokea kwa wanawake wachepukaji na kupelekea kuanza dharau kwa waume zao na kupelekea kuangusha ndoa zao.
Msingefikia hatua ya Talaka nina hakika mke wako angekuja kujirudi na kubadilika na kuwa mke baada ya kufikia umri fulani. Maana wanawake na watoto ndio wanaathirika sana mnapotengana
Wale wametolewa kama kielelezo cha kukazia hoja!
Ntakupiga na kitu kizito usifananishe na kina Mo hujui hii mvua ambavyo inanichapa time hii! Af atokee kenge anajidai kupika hawezi eti sababu katoka kazini
Sasa chakula kimeiva na mko mezani siunajipakulia tu mwenyewe mkiwa pamoja wewe wachota wali yeye aweka mchuzi kwa wali au mboga za majani huku mkitaniana ndio mapenzi yananoga sana tu, kuliko kutegemea Hadi akunawishe mikono wakati sink la vyombo like dining room,I do believe tukipunguza uboss na kutegemea kufanyiwa vitu tuta enjoy sana life. Chakula kiko tayari mezani njooni tule mtu a save kinacho mtosha huku mkistorishaKama kuna mfanyakazi haina shida sababu yupo ili kusaidia majukumu kadha wa kadha. Ila ikumbukwe yule ni msaidizi kwahio kuna mambo madogo ambayo unaweza kuyafanya around your man kama kumtengea chakula mkala hilo halina excuse!
Shida ni ile mke kutokujigusa kabisa yani anataka kila kitu mfanyakazi afanye mpaka ambayo yanakuhusu wewe direct mwishowe mmeo anakula posho yake kwa dada wa kazi
Napigilia nondo yaani kwa mwanaume ni option kwa mwanamke ni lazimaNi sawa kama mwanaume anafurahia kufanya hayo yote ila kwa asiye furahia hayo ana hiari ya kutofanya na haikupi wewe mamlaka ya kumkomoa!
Mbona hata town wapo wenye tabia njema na heshima , sema ww umeamua kua gume gume tukaoe wa kijijini mkuu
Aisee unatumia kinywaji gani bili zote kwangu tafadhali😅Shoga ukiona utumwa utasaidiwaaa
Me yoote tusaidiane lakini swala la usafi wake, kunyoa na K nitayafanya hadi kufa hata niwe nimechoka.
hela ipi tena jamani? Si tulikubaliana mwanamke hana hela!!Hizo hela za kikoba usishobokee maana watakuja kikosi kazi kukuzodoa hutaamini!
Mengineyo tuko pamoja
Huo sasa ni ubaguzi na kiburi. Mungu hapendi.Ili mradi ni pisi za town tumeamua kugoma hatutaki.
Kaoe type yako mkuu unaoendana maono Sasa Karne hii ya 21 unabebewa maji kwa ndoo bafuni ka si ushamba nini?Mbona hata town wapo wenye tabia njema na heshima , sema ww umeamua kua gume gume tu
Hahahahahaha na kweli yeye hela hanaga alwayshela ipi tena jamani? Si tulikubaliana mwanamke hana hela!!
January to DecemberHahahahahaha na kweli yeye hela hanaga always
Hahaha...kumbe wewe hutaki mabinti zako wapate treatment mbaya ila kwa mabinti wa wenzao sawa na unaita feminist ila wako wife material eeeh
Sawa kama kipo mezani ila meza haijaandaliwa kabisa na mke kajinyoosha anataka mume akajipakulieSasa chakula kimeiva na mko mezani siunajipakulia tu mwenyewe mkiwa pamoja wewe wachota wali yeye aweka mchuzi kwa wali au mboga za majani huku mkitaniana ndio mapenzi yananoga sana tu, kuliko kutegemea Hadi akunawishe mikono wakati sink la vyombo like dining room,I do believe tukipunguza uboss na kutegemea kufanyiwa vitu tuta enjoy sana life. Chakula kiko tayari mezani njooni tule mtu a save kinacho mtosha huku mkistorisha
Wacha bwana!! Kwahiyo sie wapishi eeh? Na kama sijui kupika?Mwanamke usijipeleke kwenye ndoa na mtu kama hutaki kupika
Hahaa... Za feministsSasa za akina nani sio OG?
Na kuridhika mmeridhika si ndio? Kufua vipi hamsaidiani?
Wewe endelea na life ukidhamiria kuingia huko uwe tayari kupotezaNnavyotamani kuja kuwa na familia ya baba mama na watoto wetu tukiishi kwa upendo, then nikiona hizi shuhuda za kukosea kuoa naona mnaniconfuse sielewi.
Try it too, ni nzuri sana.Hahaa... Za feminists
Hahahaha ukiwaambia hawa watu humu kuwa watoto wao wakioa watafurahia kukuta wanakunishwa nazi utaona watakavyo ng’aka!😅😅😅Hahaha...
Tangu mwanzo mimi ninapinga unfairness.
Mwanamke first and foremost timiza majukumu yako ya nyumbani, kazi na mambo mengine ni secondary responsibilities.
Mwanaume ahudumie familia, ila ni mwiko kufanya kazi za nyumbani unless mke wako ni incapable - anaumwa au sababu nyingine ya msingi.
Mimi ninaamini hata wewe ukienda kwa mwanao wa kiume ukute anapika, anadeki, n.k. na ameoa hautafurahia... Sasa kwanini unataka kumfanyia hivyo mtoto wa mwanamke mwenzio?
Hebu play fair bhana...
Note: Acheni kuwajaza kichwa eti ni gentlemen, sijui wapo romantic wakati deep down mnajua kabisa mnawageuza mabwege na mnawadharau kimyakimya. Haha