Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Hao jamaa ni stupid tu from the core!

Tumejaribu kusuluhisha hio migogoro na katika pande zote wanaume ndio wameonekana wapuuzi! Wanyakyusa wanajionaga smart katika kila kitu ila wame prove weakness in every angle of raising arguments and facts. Wako kama kondoo alilosema na kutaka mama au dada ndio hilo hilo ukoo mzima utafata hata kama ni upuuzi!

Hivi unaweza oa mke ukakaa nae kwa mamaako for 9 years huku yeye akikulisha wewe na mamaako?

Unaweza lipia mahari mchumba ukakaa nae kwako zaidi ya mwaka huku ukikwepa kumuoa kwa kiburi kwamba umemzalisha hatakuwa na pakwenda na unaspend mda mwingi kazini mkoa tofauti na ulipomuacha? Mbaya zaidi ukirudi huna time nae. Huyu jamaa alichanganyikiwa baada ya mke kusepa.

Hebu tetea bila kuwa biased!
Daaaah very stupidy kwakweli hiyo midume haijielew
 
Ukishajua ndoa ni nini utaelewa namaanisha nini
kwasasa unaendeshwa na hisia za kichuochuo kama sijakosea mnaota ndoto nyingi sana kama mnaishi peponi vile
ngoja ukue kue kidogo utaelewa tu

Unakumbuka ukiwa mdogo sana uliambiwa ukikua utajua? Unadhani utajua ni magorofa?
subiria tu utajua nini kinaongelewa

pia hatuangalii kipi ni ktu og tunaangalia nani anafaa kuwa mke
na ninakukumbusha tu wasichana ni wengi sana ila wanawake ni wachache na kupata mke ni adimu zaidi ya unavyofikiria
Tunaongelea kitu original aisee sasa mambo ya chuo yamekujaje mi chuo nimemaliza longtime agooo.
Hata Allah alimuumba Hawa akiwa OG hakumleta akiwa used (single mumy).
 
First of all asilimia kubwa ya single mothers ni mademu waliokuwaga hot sana kabla hawajawa single mothers.

Whe she was hot usingeweza kuwa nae kwa sababu wewe hukuwa class yake. Still ur not her class.

Anapo kuwa single mother wale wanaume ambao walikuwa class yake wana mkacha.

Hawawezi tena kuwa nae kwa sababu they think she is no longer their class.


Mentality ya mwanaume anae muoa single mother:

Hawa ni wanaume ambao wanapenda kuoa wanawake wenye kasoro au mapungufu ili waweze kuzitumia kasoro hizo au mapungufu hayo kuwatawala vizuri.

Atataka aoe mwanamke ambae amesoma mpaka darasa la saba kwa sababu ana amini atampelekesha na kumburuza and she will remain loyal to him.


Atataka kuoa mwanamke anae toka kwenye familia ya kimasikini ilu aweze kumnyanyasa vizuri.

Atataka aoe mwanamke aliye zalishwa na mwanaume au wanaume wengine kwa sababu ana amini mwanamke huyo anakuwa hana chaguo lingine so atamtawala vizuri.


What happen when mwanaume mwenye mentality hii anapo amua kumuoa single mother?

Mwanaume mwenye mentality hii anapo muoa single mother huwa anaamini kuwa single mother huyo atakuwa loyal sana kwake but matokeo huwa kinyume chake kwa sababu ifuatayo.


A woman will be loyal to u because of two reasons:

1. Whe she thinks u have other better options than her.

2. When she doesn't have any other better options than you.( Wanaume wengi wanao wachukua single mother huwa wana calitalize kwenye fact hii)


All these two facts co exist.


If u marry a single mother she thinks u dont have any other better option than her kwa sababu kama ungekuwa na other better option usinge weza kumuoa yeye ambae amezaa mtoto na mwanaume mwingine. She thinks una mapungufu fulani ndio maana umeshindwa kuoa mwanamke ambae hana mtoto.

Hapo ndo mwanamke huyo anaposhindwa kuwa loyal kwako kwa kiwango ambacho ulikitarajia.

Kumbuka when ur going to marry a single mother ur not going to " start " a family with her . Actually ur going to " join" her family which constitute of her and her kid
(s).

A really man will need to start his own family and not to join another family and when ur blind enough to think that it is ur family u will end up on being a stranger in ur own family.

Tuchukulie mfano wa Zari na Diamond kama wangeoana, would u say that Diamond has started a family with Zari or he has just join Zari's family?

Hakunaga mwanaume mwenye dream za kumuoa single mother. Ulipokuwa kidato cha nne wakati akili yako bado haijawa corrupted hukuwa una dream za kuoa single mother.

Wazo la kumuoa single mother huwa linaletwa na the bad part of ur brain ambayo huwa inakuwa activated when ur brain is corrupted.

Single mother wanalijua hilo ndio maana wakiona mwanaume anataka kuwaoa wanamuona muona na yeye ana mapungufu au kasoro fulani sasa unapoenda kumuoa single mother huku ukiwa na wazo mfu kwamba utaenda kumnyanyasa kwa sababu yeye ni single mother unakuwa ni sawa na mwanafunzi ambae ame learn it the opposite way , u will be bound to fail.

Unaweza kumnyanyasa mwanamke ambae sio single mother na akaendelea kukuvumilia kwa sababu ya kuogopa kuwa single mother lakini huwezi kumnyanyasa single mother kwa sababu most of them.are so good in being single mothers and they don't give a damn about being single mothers ndio maana wengi wao hawadumu kwenye ndoa au mahusiano.

Do ur own research..mifano mingine ipo wazi: Zari, Anti Ezekiel, Hamisa Mobetto, Shamsa Ford, Kajala na wengine wa mtaani kwenu na ofisini kwenu ambao najua unawajua wengi tu.

SULUHISHO: UKIMUOA SINGLE MOTHER USIMNYANYASE KWA KUTUMIA KIGEZO CHA USINGO MAZA WAKE NA USITEGEMEE ATAKUONYESHA UTIIFU USIO WA KAWAIDA KWA SABABU YEYE NI SINGLE MOTHER. USIWE NA MENTALITY LIKE " DAH YANI HUYU MWANAMKE ANAWEZA KUNIJIBU HIVYO!!! MWANAMKE MWENYEWE NIMEMKUTA TAYARI AMEZALISHWA MTOTO!!! AMD BLAH BLAH BLAH"

ISHI NAE VIZURI KWA SABABU HATA YEYE KIMOYO MOYO ANAKUONA UNA MAPUNGUFU NA KASORO KWA SABABU KAMA UNGEKUWA HUNA MAPUNGUFU NA KASORO UNGEENDA KUOA MWANAMKE AMBAE SIO SINGO MOTHER.

°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°
Asee ningekua karibu ningekupa mkono wa hongera fundisho kubwa sana hilo...na istoshe watoto wa single mother huwa wanakudharau sanaa...U ARE VERY RIGHT ON THAT
 
Daaaah very stupidy kwakweli hiyo midume haijielew
On top of that ati mama mkwe anataka ndugu wakimkorofisha sista ati yeye ndio awaombe ukoo mzima msamaha.

Sijawahi kuona kituko kama hicho maishani.😂😂😂 mtu akutie kofi unyamazege tu ukirudisha mashambulizi wewe ndio ukaombe samahani!
 
Hawaelewekagi hao mara waseme mwanamke usijipe kiherehere cha kulipa bill ama kumpa mwanaume hela,but at the same time ni mabingwa wa kuomba wanawake hela na kulilia wake zao wawasaidie kuhudumia family.Nilichojifunza mwanamke tafuta hela hudumia wanao vyema usiwategemee hawa viumbe kwani wengi ni wategemezi kwa wake ama wapenzi wao kiuchumi kwa sehemu kubwa ila wakija mitandaoni watajitapa kutafuta kik ilhali ukienda kwake waweza kuta mama ndio anacover almost gharama za huduma zote za kuendesha family ikiwemo kusomesha watoto,kulipa matibabu,chakula,kulipa maids ,kulipa kodi ya nyumba kama bado wamepanga nk.
Halafu eti wanalalamika kuwa wanawake ni wajeuri na bado mbona hilo ndo kwanza trailer tu movie yenyewe hata haijaanza
 
Unaona enh? Kumbe zile ni porojo tu nilitaka kushangaa wanaume wa siku wakubali kuwahudumia wake zao kwa kila kitu? Haiwezekani. Ila ndo hivyo nyie kazi za nyumbani hamtaki kufanya
Mke kumhudumia namuhudumia but nayeye lazma anipe huduma stahiki hilo la kufanya kazi ni option yake. But haliingiliani na huduma anazotakiwa kunipa
 
Wiyj
Mwanamke anakua single mother kutokana na factors kadhaa ambazo zingine zinakua nje ya uwezo wake...


Sii kila single mother ana back ground mbaya... ni sisi wanaume ndiyo huwa vigeugeu sana...


Cc: mahondaw
With due respect i beg to differ
Single mothers are single by choice. They are never a victim.
 
Back
Top Bottom