Pole mkuu
Mkuu unamaanisha ma single maza wana laana?? Ngoja wajeHio ni Nyota au Laana
Wengine ni mazombie huwezi hata kukaa naye mwèziKatika maisha yangu I wish nioe mwanamke single mother, kwa sababu akilini mwangu naamini most single mothers wanajua the real taste of life, sio hawa slay Queens wapiga make-ups na mizinga. That's what i think in my mind, Is it not a VIRUS? Advice please!
Na Mungu akupe haja ya moyo wako
Mkuu tumefanana akil ktk hiliKatika maisha yangu I wish nioe mwanamke single mother, kwa sababu akilini mwangu naamini most single mothers wanajua the real taste of life, sio hawa slay Queens wapiga make-ups na mizinga. That's what i think in my mind, Is it not a VIRUS? Advice please!
Ukimpata yule ambaye jamaa aliyezaa naye ameshakufa kwakweli utaenjoy sana maisha.Katika maisha yangu I wish nioe mwanamke single mother, kwa sababu akilini mwangu naamini most single mothers wanajua the real taste of life, sio hawa slay Queens wapiga make-ups na mizinga. That's what i think in my mind, Is it not a VIRUS? Advice please!
Wenzako wana ndoto za kuoa mabikira wewe una ndoto za kuoa single mother.Katika maisha yangu I wish nioe mwanamke single mother, kwa sababu akilini mwangu naamini most single mothers wanajua the real taste of life, sio hawa slay Queens wapiga make-ups na mizinga. That's what i think in my mind, Is it not a VIRUS? Advice please!
Walimfanyaje?single mama walifanya nimpoteze rafiki yangu masumbuko daah alikuwa kijana mzuri mwingi wa huruma mwenye uchu wa maendeleo ....
Ha ha haaa,huyu Jamaa sijui katoka sayar gani eti aoe singo mazaWenzako wana ndoto za kuoa mabikira wewe una ndoto za kuoa single mother.