Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Wanaume wengi hawataki kuoa vimeo!
Wanawake wengi siku hizi hawajitambui. Wanaishi maisha fake na Ujuaji mwingi.

Hii 50/50 imewapotezea mwelekeo!

Linapofikia suala la kuoa mwanaume hata awe vipi ila huwa makini sana kwny kuchagua mke wa kuishi nae!
Lakini wanapenda kupandikiza mimba?
 
Pamoja na hoja zako nne hapo juu. Suala la elimu nalo linachangia ongezeko la single mothers kwani siku hizi mabinti wengi wanajikuta wanafikisha miaka 26 wakingali masomoni wakati siku za nyuma mabinti wengi waliolewa wakigali wadogo (15-20 yrs).

Hali hii, inasababisha kuanza ngono kabla ya ndoa na hivyo kuzaa kabla ya ndoa.
 
Unamaanisha wakiwa vyuoni? Kwa hili, vijana wa kiume hawastahili lawama ya kungoneka wakiwa masomoni?
 
namba (2)
namba(3)
na
namba(4)
ndio majibu mujarabu kabisaa ya hiyo scenario yako mkuu ...kwa mantiki hii hali inatisha mnoo mkuu
 
Wadada wengi wanajikadiriaga ukomo wa kuolewa, wakipita ule ukomo basi huamua kuzaa mtoto ili kujifariji walau ni mzima kiafya sio mgumba.
 
maisha ya mahusiano yamepoteza upendo, msisimko, huruma hakuna , ni kusalitiana tu, baba mmoja naweza kua na watoto 5 wa single mothers na asiwajali , ukijua hayo ni kutulia tu na mwanao ukalea uepuke pressure

Hao uliowatag ni single mothers??
Mais
 
namba (2)
namba(3)
na
namba(4)
ndio majibu mujarabu kabisaa ya hiyo scenario yako mkuu ...kwa mantiki hii hali inatisha mnoo mkuu
Nini kifanyike kama Jamii?
Inawezekana ndio chanzo cha watoto waishio katika mazingira magumu! Street boys?
 
Back
Top Bottom