Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Single mother ndio wanaolewa sana katika karne hizi kuliko hao mnaowaona ndio wako royal
nimeshuhudia ndoa kama tatu nne hivi na still wamedumu na wanapendana sana

pia single mother sio kwamba walikuwa wanasoko then wakakosa soko umewapa tafasiri ya tofauti kabisaaa
nadhani ndio maana umekuwa na fikra kama hizo
but all in all ulilosema lipo ila ni kwa wale tunasema vicheche kama ulivyosema pia ni asilimia ndogo sana kwa ulilosema
pia say sorry to single mother hawapo namna hiyo unavyowapa tafasiri hiyo

nilipata mwanamke wa kwanza alijitegesha mimba nimuoe but msimamo ulikuwa nikwamba mimba sio kigezo aliolewa ana mtoto wa pili now
Nilipata mtoto wa kirangi huyu aliolewa na mimba yangu kabisaaa na mtu mwingin

but watoto niliwachukua so mimi pia ni sigle father ila uewanukuu vibaya sana kuna factors nyingi sana zinasababisha kuwa single mothers kama mbili hizo hapo juu
 

Amekuletea mtoto wa kirangi umemsifia manaake huyo mama yake alikua hot aisee namuonea huruma huyo jamaa aliyemuoa kwa maelezo ya mtoa mada..

Vipi lakini huwasiliani na wazazi wenzake,na kama mkiwasiliana mnaongea nini hasa,
Vipi kuhusu kukumbushia enzi zenu,huwezi kukumbushia kama mkikutana sehemu
Kwanini hujaoa mpaka sasa..

Unawaambia nini wanaume walio waoa wanawake uliowazalisha
 
H ah aha ha ah hamna bana naheshimu sana kitu ndoa mkuu wala huwa siwasiliani nao mara kwa mara
wakitaka kusalimia wanao ndio wanannicheki

but soon naweza kuoa namimi pia maana mambo yanaendea vyema
 
just single father married single mother....got it babu!!.....her husband passed away long long time ago....left her with two litle birds.......and i hv two litle birds too..........usikariri
Sasa Babu mbona kumbe wewe kwa muktadha wa hii mada unatakiwa kuwa mshauri sio mchangiaji kama sisi
.

Sema nini Babu sijakariri bhana ntake radhi..
 
Sasa Babu mbona kumbe wewe kwa muktadha wa hii mada unatakiwa kuwa mshauri sio mchangiaji kama sisi
.

Sema nini Babu sijakariri bhana ntake radhi..
unachangia tuu...but ...kama kuna hoja inahitaji kujadiliwa we do...pole babu
 
Hahaha
 
Tatzo mnaongea kwa hisia halafu mnataka muaminishe na wenzenu hisia zenu.. Hii sio sawa!!

Hisia zako zitabaki kuwa zako juu ya jambo/kitu fulani otherwise umetafiti na kuja na results toka kwny reseach yko..

Ndoa ni jambo la siri sana. Ndio maana kuna maneno haya.. ' Tutavumiliana kwenye SHIDA na RAHA...'
 
Kuna kitu watu hawajui kuhusu wanawake...

Wanawake wanaheshimu sana Mwanaume mwenye options nyingi kwenye kila nyanja ya maisha..

Kama mwanaume anayependa kizezeta,hana kosa ila anatuma taarifa kwa mwanamke kwamba hana options which is bad sababu mwanamke ataanza kutafuta kasoro zako tena nyingine za kijinga tu.

Utashangaa anahudumia huyo sijui sababu mfupi,sijui sababu Ana pua kubwa sijui sababu hajui kutongoza,sijui sababu hajui mapenzi yaani yeye Anaamini mwanaume hawezi kukupa kila kitu labda kama Ana kasoro hivo anatafuta kasoro.. Wanawake Ni kama wameumbwa hawajiamini. Yes,ukipata mwanamke anayejiamini utapata raha sana coz unavyomuhudumia anajua huyu mtu ananithamini hivo anazidi kukuheshimu pata Hawa majority waliozoea drama zA kijinga halafu jaribu kumpa kila kitu uone atakavyo kuona bwege.

Single mothers wanaamini hawawezi kupendwa tena hivo wanaingia kwenye relationship kwa strategy na hapo ndo self fulfil prophesy inatokea..Imani inawaponza.Ila mwanaume timamu huwez oa single mother unless alikuwa na mume na mume kafa.Inauma sana ndo ukweli huu .mkiona mwanaume timamu anataka single mother anA psychological problem achunguzwe tu kwakweli,inaumaaaaaaa lakini kwel.

Tunapenda vitu fresh bikra,kigoli,hajatumika sana.Mi binafsi hata nikupendeje nikisikia una mtoto biashara inaishia hapo,sina mda kabisa nitakutania Tania tu na kubeba mwanao sababu napenda watoto
 
Ur the true son of ur father!!!
 
Mkuu naona kama kuna ukwel ndani yake
 
Bila shaka ulikaa kikao na single mother wakakueleza hayo uliyoandika hapo mkuu!!

Usitake mtazamo wako uwe wa jamii nzima, wewe kama hupendi kitu mwingine atakipenda, huo ndo utofauti wetu wanadamu.

Unapochangia mada jiongelee wewe kama wewe usi generelize kama vile mlikubaliana ukatumwa kuja kuwakilisha maazimio.
 
Shauri yako
 
Hahahaa kwani we huoni akili za wanaume humu dhidi ya single mother....


Mwanaume anapenda ukigoli aisee bikra huna,kutumika sawa hadi engine imeshusha mzigo kweli????hata km mi ndo kaka ako utakubali niache vigoli kisa kumsitiri mtu
,kua fair Basi utanishauri nioe mwanamke mwenye mtoto km mm Ni Kaka ako???

Nilisema Ni ukweli mchungu lkn pole kama unapitia kipindi kigumu..
 
soma vzr coment yangu uelewe nilichosema mkuu,
mtazamo wako usitake uwe wa wote, kuna wengine wanawakandia masingle mother humu alafu ndo waliowaoa hao hao (nina ushahidi), wengine dada zao single mother, wengine mama zao single mother wamelelewa na huyo single mother mpaka leo wanajiita wanaume...

huo ni ukweli wako wewe na akili yako ndo inakuaminisha hivyo mkuu na fyi am a happy married with two beautiful kids so serve ur sorry for urself

note: a real and matured gentleman will never talk shit about single mother,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…