kajunjumele
JF-Expert Member
- Jul 5, 2014
- 2,490
- 1,363
Mbona kawachagua wengi sana,..kunawachaga wa Mby,Tarime,Dodoma,Iringa etc.Acha kumraumu DJPM kijana.
Endelea na mawazo hayo. Nyie mtaendelea kubaki hivyo hivyo na wengine wataendelea kuwa maskini. Hiyo ndiyo furaha yenu...ipo siku kama siyo kizazi chako basi kizazi kingine kitakuja jutia majivuno ya aina hii.
......hata chama chako wabinafsi sana...wanataka kuongoza zenj forever hata kama wamepigwa chini...ni ubnafsi huoNAONA MNAISOMA NUMBER?+,nimeamini nyinyi ni wabinafsi sana
wachagga wana mkoa mmoja tu ambao ni kilimanjaro, wasukuma wana tabora, mwanza, shinyanga, geita na simiyu lakini huwezi kuwasikia wakiongelea upuuzi wa kutaka special treatment kama za huyu jamaa aliyeanzisha hii mada. Kila kabila ni bora na linastahili kula cake ya taifa. hizo mindsets za ukabila ni mbaya na sina mwisho wenye madhara kwa nchi.
Ulienda shule bahati mbaya hukuelimika kama ulielimika basi bado hujakua, unajivunia uchaga eti uchaga utaharakisha maendeleo, acha kupalilia ukabila palilia utanzaniaTatizo lenu hamjui umuhimu wa hili kabila katika swala nzima la kuharakisha maendeleo.
Hebu taja hiyo sukuma community kwa jina moja moja kama ulivyotaja Meru, Maasai, Pare kwamba wote hao ni wachaggaHapo umeongelea sukuma community ...ni mwanza,tabora,shinyanga......Sasa Kama ni hivyo Chagga community inazoshabihiana ni pare,meru,Arusha ,Maasai ,and Iraqi community ....na Mara nyingi wabaguzi huko serikalini hummanisha hivyo wanapoongelea Chagga
Hebu taja hiyo sukuma community kwa jina moja moja kama ulivyotaja Meru, Maasai, Pare kwamba wote hao ni wachagga
Ukichanganya na hao community inakuwa ni kubwa maradufu, sababu Wasukuma kweli wapo Mwanza, Geita, Simiyu, Tabora kule Nzega, Shinyanga yote, sasa ukichanga na hao wengine kama inakuwa ni kubwa ndio maana nilikuuliza hizo community...Sukuma ,Nyamwezi, and small tribes in Geita like Wazinza ...etc when you look you find many small tribes ...lakini zote zinakuwa zinaingiliana
Ni Kama Haya Community .....Kama Hangaza ,etc ...wanakuwa kwa nje tunajuwa ni Haya lakini ukifika Kagera wanajuana
Nimependa namna ulivyoijenga hoja yako. Ni kweli kule Nigeria miaka ya 1967 hadi 1970 hivi Waigbo walijawa kiburi kwa sababu ya kisomo chao. Elimu waliyopewa na wakoloni iliwapa kiburi wakaanza kujiona kuwa wao ni zaidi. kutokana na elimu yao walijaa kwenye nafasi nyeti ikiwa ni pamoja na jeshini. Colonel Odumegwu Ojukwu akaanzisha uasi wa kutaka Waigbo wajitenge na kutangaza Taifa la Biafra huko Mashariki wa Nigeria. Waigbo walipigwa mno na majeshi ya shirikisho chini ya General Gowon. Waliteswa mno na wakashindwa vita. Nakumbuka Tanzania pamoja na Ivory Coast waliunga mkono kujitenga kwa Biafra. Ilikuwa ni moja ya maamuzi tata yaliyofanywa na serikali yetu chini ya Baba wa Taifa. Kwa miaka mingi Wanigeria walituchukia mno. Hivi sasa Wachagga wana mwelekeo huo wa kujisikia, kujiona na ubinafsi. Ni kweli nyumbani kwao wachagga wameendelea na ni nadra kuona nyumba ya nyasi kule uchagani. Barabara za lami ni mpaka vijijini pamoja na umeme. Enzi za Nyerere serikali iliingia mkataba na Japan wa kupelekea umeme vijiijini na Moshi ikapewa kipaumbele. Kwamba Kilimanjaro (uchagani na siyo upareni) imepiga hatua kimaendeleo sababu kubwa ni historia ambapo wakoloni walielekeza nguvu ya elimu huko Kilimanjaro kwa kuweka shule nyingi. mikoa mingine iliyofaidi kielimu wakati wa mkoloni ni Kagera na Mbeya na kidogo kwa mbali Iringa. Mikoa mingi mingine iliyobaki wakati wa ukoloni ilikuwa inazalisha manamba kwenye mashamba ya monge kule Tanga. Mikoa hiyo ni Kigoma ambapo mpaka leo hii kuna waha wengi huko Tanga waliozaliwa kwenye mashamba ya mkonge. Mikoa mingine iliyozalisha manamba ni maeneo ya Upangwa huko Njombe na pia maeneo ya Songea. Ukienda kwenye mashamba ya mikonge iwe ni Morogoro au Tanga utakuta Wabena, wapangwa na wangoni.....Ni bahati nzuri wachagga walichukua au kutumia fursa waliyopata kielimu wakati wa ukoloni na wakaendelea nayo. Na ukweli mwingine ni kuwa Wachagga pia ni entrepreneurs na ambao wako tayari kuhangaika kimaisha. Kizazi cha zamani cha wachagga wanaojua namna nchi hii ilikotoka hawana nyodo kama ilivyo kwa kizazi kipya cha vijana wa sasa wasiojua kabisa historia ya nchi hii. Hii ndio hatari tunayokumbana nayo ambapo vijana wengi wa kaskazini na hasa uchaggani wanadhani kuwa maendeleo ya Moshi yamekuja kwa sababu ya umakini wao pekee. hawajui historia. Vijana hao ndio wengi wanaopiga kelele sio tu humu JF ila mpaka mitaani. Wako vijana wanaotamka hadharani, tena basi baadhi yao ni viongozi wakiwemo wabunge, kuwa Kaskazini ijitgenge. Ni matamshi ya hatari mno. hawajui kuwa kaskazini imeendelea kutokana na maeneo mengine ya nchi. Maelfu kwa maelfu ya wachagga na watu wa kaskazini kwa ujumla wametajirika nje ya Moshi au kaskazini. Wengi wako mikoa mingine kama Dar es salaam, mbeya, Morogoro, Tanga, Singida, katavi, Mtwara, iringa na kadhalika wakitafuta maisha. Wakati wa mwisho wa mwaka maelfu kwa maelfu ya watu hao huenda moshi kupumzika na hasa wakati wa krisimasi. Hii ina maana wengi wako nje ya Moshi. Kwa bahati mbaya kabisa Kilimajaro ni eneo dogo mno kwa ardhi ikimananisha kuwa mkoa huo hauwezi kabisa kumudu kusitiri wakazi wake kama baya litatokea na ambalo hatuliombei. Siasa za vyama vingi nazo zimechochea mgawanyiko huu ambapo wanasiasa uchwara wanatumia nafasi hii kwa manufaa yao. Mimi nakumbuka miaka ile ya 1970 suala la kaskazin I lilikuwa linazungumzwa lakini uongozi wa Baba wa Taifa ulikuwa makini kwa kuhakikisha umoja wa kitaifa unaimarika. Mtu wa Ruvuma alikuwa anakwenda kusoma Moshi na Mtu wa Moshi anakwenda kusoma Kigoma na kadhalika na kadhalika. Pia kulikuwa na Jeshi la kujenga taifa ambapo mtu anatoka Lindi kwenda Bulombora Kigoma na kadhalika.Ukabila unawasumbua Nigeria kwa sasa. Biafra wanataka kujitenga wanadai kabila la Igbo linabaguliwa. Lakini Buhari kawatajia rundo kubwa la waigbo ambao wako kwenye nafasi nzuri serikalini, tena kwa miaka mingi. Sipendi kuuangalia uchagga kama ni aina fulani ya ujanja. Wasukuma ndio kabila kubwa zaidi Tanzania, mikoa ya wasukuma ni Geita, Mwanza, Simiyu, Shinyanga na Tabora, kama nchi hii ingekuwa inaongozwa na falsafa za ukabila, JPM angekuwa ni msukuma wa tano kuongoza nchi lakini ni msukuma wa kwanza. Waliopaswa kulalamikia kubaguliwa wangekuwa ni wasukuma na sio wachagga. Ukabila huambatana na dharau za kipumbavu, na madhara yake ni uhasama wa chini chini uliopo Tanzania kwa sasa. Tuupige vita huu upuuzi unaoitwa ukabila.
Ukichanganya na hao community inakuwa ni kubwa maradufu, sababu Wasukuma kweli wapo Mwanza, Geita, Simiyu, Tabora kule Nzega, Shinyanga yote, sasa ukichanga na hao wengine kama inakuwa ni kubwa ndio maana nilikuuliza hizo community...
Ndo maana ukikutana naye anaforce mfunge ndoa ili timbwili lianze ..they are so wickedWachaga bora waachwe kwanza washamba sana hawajui hata kukata mauno kitandani ,wanalala tu kama gogo
Kila napojaribu kutafakari uteuzi wa Magufuli kuanzia kwa mawaziri...makatibu wakuu na manaibu makatibu wakuu sielewi nini hasa tumeikosea serikali yake...
I feel dissapointed and seggregated......
Labda wachagga wenzangu mnisaidie kufanya analysis Japo sina maana ya Ukabila.
very dissapointed
We jamaa uko vzur, hongera sanaU
Ushaharibu mkuu!!! hata mtoa maada anakushangaa , alikuwa anakutafuta mtu wa aina yako, pengine anafanya reserach!
Believe me, 99.9999 ya wachaga wengi hawajihisi kama wewe, ni confident, hardworker, wana akili na wako position nyingi kubwa nchi hii, they will never think kama wewe
mnaosumbua ni nyie mlioshindwa maisha, inferiors, ! umeshangaza sana....hata ukimkuta mchaga anashona viatu au anauza bucha , wako Happy, confident na wanawaza hela tu!! sio kama wewe......ebu muulize mama yako kama baba yako ni mchaga kweli.................wengi wana akili kama za Mbowe, hela kwanza!!! Sio kulia lia
jamaa hapo juu kasema, unatakiwa uishi na wanyama, ni haki yako kabisa. Unaweza kuja kwangu nikakuweka banda la mbuzi nikulishe na kukutunza, halafu atakayekuletea chakula ni dada yako wa kichaga ambaye nimemuoa!!
I mean, jamii ya kitanzania leo mwaka 2016...siyo ya kujadili uchaga, we are more than 120 tribes...why you?? who are you?? haujishtukii tu
watu nyie wa ajabu kweli kweli mnashupalia wachaga kama watu wasiokuwa na haki ya kuishi tz,muanzisha thread sio mchaga ila alitaka kuleta vurugu tu humu ndani hana loloteTatizo kubwa lenu mna ukabila sana, ubinafisi na wizi. Kama msingekua na tabia za ubinafsi na ukabila nchi yetu ingekuwa imepiga sana maendeleo, lakini kwa sababu mu wabinafisi mnawaza kujilimbikiza mali tu badala ya kuwatumikia Watanzania wote. Nina imani kuwa Magufuri hajaangalia ukabila wala udini, alichoangalia ni wachapa kazi wasiojua ukabila wala udini. Kwa hiyo kuwaza UKABILA NI UPUMBAVU MKUBWA ambao yatupasa tuukemee.
hayo ni makabila gani mkuu?Mbona wafipa na wabende hatulalamiki??