Bhahahahahahaha, hilo nalo neeeeeeno
Tusiume maneno NYINYI NI MAJIZI, WABINAFSI NA WAKABILA SANA. Awamu hii mtaisoma tu.
Mwaj wa ukwelihalafu kabla hujajiuliza hili jiulize wabunge wangapi wa ccm ni wachaga?? wachaga wangapi wako kwenye vitengo ambavyo wangefaa kuteuliwa na niwaadilifu kwenye mali za uma hata kwa kiasi tu maana wezi ni wezi ila wengine ni majizi
Mwaj wa ukweli
Hezibo ndio kabila gani kiongozi?Kutesa kwa zamu. Hivi Sumaye hakuwa mchaga? Hata wakati wa Che Nkapa mkewe alikuwa mchaga. Wacheni kulialia Tanzania ni ya Watanzania uwe Nchaga, Nkwere, Mtindiga, Mmanyema, Hadzibo et al utakuwa kiongozi. Wacha ukabila wewe mbona wachaga wengi ndio waliokuwa wamejaa TRA etc?
Nimeipenda sana hiyo a.k.a ulale unono mwaj waukwelijina langu la a.k.a.nambiee
Nilindika hapa Magu na ukabila,Alivoenda kanda ya ziwa tabora hakuwa mtanzania na hatakuwa.Hata wa makabila mengine wamewekwa kuua sooo hawahitajiki, ni NtemishipHasa pale TRA walifanya ni makao ya wachaga (northern) wanetu waliosoma mambo ya -kodi pale Moshi na kufaulu vema wakienda TRA kuomba ajira wanaangaliwa kama si ndg zao wa kaskazi ni NO..!
Halafu msipodhibitiwa mtatuletea ukabila nyie wachagga maana ake thread za kichaga hazipungui humu jamvini.jaribuni kuwa wastaatabu hivi nasisi wakwere tukianzisha hapa patakalikaa?Kweli mkuu hili jambo limenifikirisha sana!! Sijui magufuli na ccm wana agenda gani na wachagga?
Au huu nao ni ule "mpango mahususi"?