U
TUTAFIKA MAHALI TUTAELEWANA TU KAMA TAIFA.....SOCIAL MEDIA SI SEHEMU YA KUKASHIFIANA NA KUJENGA UADUI BALI NI SEHEMU YA KUELEWESHANA NA KUBADILISHANA MAWAZO.
TUWAZE NAMNA YA KUJENGA TANZANIA AMBAYO INAONGOZA AFRIKA MASHARIKI NA KUWA MFANO WA AMANI NA MSHIKAMANO SIO UTENGANO. MUNGU IBARIKI TANZANIA
Ushaharibu mkuu!!! hata mtoa maada anakushangaa , alikuwa anakutafuta mtu wa aina yako, pengine anafanya reserach!
Believe me, 99.9999 ya wachaga wengi hawajihisi kama wewe, ni confident, hardworker, wana akili na wako position nyingi kubwa nchi hii, they will never think kama wewe
mnaosumbua ni nyie mlioshindwa maisha, inferiors, ! umeshangaza sana....hata ukimkuta mchaga anashona viatu au anauza bucha , wako Happy, confident na wanawaza hela tu!! sio kama wewe......ebu muulize mama yako kama baba yako ni mchaga kweli.................wengi wana akili kama za Mbowe, hela kwanza!!! Sio kulia lia
jamaa hapo juu kasema, unatakiwa uishi na wanyama, ni haki yako kabisa. Unaweza kuja kwangu nikakuweka banda la mbuzi nikulishe na kukutunza, halafu atakayekuletea chakula ni dada yako wa kichaga ambaye nimemuoa!!
I mean, jamii ya kitanzania leo mwaka 2016...siyo ya kujadili uchaga, we are more than 120 tribes...why you?? who are you?? haujishtukii tu