Wachagga na Serikali ya Magufuli

Wachagga na Serikali ya Magufuli

Status
Not open for further replies.
Nchi yetu ina makabila azidi ya 120 hivyo kama rais amengependa kuwafurahisha wote wawemo kwenye baraza la mawaziri, angepaswa kuunda baraza la watu zaidi ya 120 jambo ambalo haliwezekani hata kidogo.
 
Kila napojaribu kutafakari uteuzi wa Magufuli kuanzia kwa mawaziri...makatibu wakuu na manaibu makatibu wakuu sielewi nini hasa tumeikosea serikali yake...

I feel dissapointed and seggregated......

Labda wachagga wenzangu mnisaidie kufanya analysis Japo sina maana ya Ukabila.

very dissapointed
Nimelikagua baraza mara kumi nikapitia makatibu wakuu na manaibu mara zaidi ya kumi, Sijaona Mnyiha wala mnyamwanga!Unataka kutuambia nini????
 
Kila napojaribu kutafakari uteuzi wa Magufuli kuanzia kwa mawaziri...makatibu wakuu na manaibu makatibu wakuu sielewi nini hasa tumeikosea serikali yake...

I feel dissapointed and seggregated......

Labda wachagga wenzangu mnisaidie kufanya analysis Japo sina maana ya Ukabila.

very dissapointed

Bora mmezidi utapeli.
Tena awasafishe kabisa.
 
Sion athari yoyote kwa mchagaa yoyote kisa eti hakuna mawaziri wachagga! Wewe ndo umejua kazi leo, lakin nataka nikuhakikishie wachagga na kazi ni sawa na mizizi na ardhi! Hili halina ubishi mkuu.

Kazi wameanza enzi na enzi na ni culture kwao hawa jamaa! Wewe unakuja kusema "hapa kazi" leo hii mwaka 2016, wakati wao kazi wameanza toka karne ya 15 ulipoanza utawala wa wamangi, ambaye ndo aliekuwa mtendaji mkuu huko uchagani! Sheria za huyo mangi, jpm hafuati hata robo! Ilikua ni kazi tu, na kama hufanyi kazi ole wako, lazima upate habari yako!

Sion mwanasiasa mchagga aliefanikiwa kutokana na siasa! Waachen wachagga wakae kama walivyo! Nafikiri kama inawezekana, wapeni Jamhuri yao muone kama kuna mahali watakwama! Kama hamjenda kuomba msaada kwao!

Chezea wengine ila usichezee hii namba. Wachagga na wahaya ni very intelligent! Sisemi kuwa wengine sio intelligent, isipokuwa wana "uniqueness" yao ambayo nyie akina Riz, mnaweza mkaipata baada ya kizazi chenu ku-perish. Of which it will take you hundred years bro.

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Hakika mkuu UMENIKOSHA kwa kunikumbusha hawa majemedari wa KAZI Mangi mandala, mangi mwitori ,MangiMeli Mangi sina kutoka kibosho akifuatiwa na Marialle!!
Hawa ndio waasisi wa KAZI huko Moshi.
 
Every civilization starts to fall from the inside.
Adui wa kwanza wa Utanzania ni Mtanzania.
It has always been that way, and it will forever be.
 
Huko Garden zinanyeshewa hadi usiku hutaamini uko Tanzania ...maharusii wanapiga pichaa public gardens...Wakati kuna watu bado wabaamini Tanzania itakuwa safi Mara Moja kwa Mwaka...tabia tatizo
 
Tukianza na uchaga, tukakuja na ukaguru,ufipa,umatengo,unyamanyafu,unyansuzu,ukinga,undali,ukerewe,unyiha,umiling'inyi +++++ nchi yenyewe imejaa makabila kibao.....
Tusiangalie ukabila wa wateuliwa bali tuwapime kwa utendaji wao wa kazi.
Karne hii bado kuna watu mnawaza ukabila....kha???!!
 
TE="mirisho pm, post: 14995387, member: 80457"]I saw it coming..................................[/QUOTE]

Sijui kingereza lakin mmh, embu anaejua ki English ansaidie hapa
 
mnataka mkatambike serikalini?
kabila lako, dini yako, itikadi zako kaa nazo sisi zinatuhusu nini!!!!!??????????
FANYA KAZI MKUU
 
TE="mirisho pm, post: 14995387, member: 80457"]I saw it coming..................................

Sijui kingereza lakin mmh, embu anaejua ki English ansaidie hapa[/QUOTE]
niliona inakuja
 
Usiwe mjinga, kwani kuna mahali pameandikwa wachaga lazima muwepo? Unataka kuniambia kuwa mababila yote zaidi ya 50 hapa Tz yanawakilishwa isipokuwa wachaga?? Hovyo kabisa!

wachaga hawakwepeki mkuu, kama kigezo ni elim wanayo, kama kigezo ni weledi wanao, kwa kifupi huwezi wadharau wachaga hapa tanzania,

wewe mwenyewe barafuyamoto upo kwenye daftari la mangi hapo mtaani kwenu, mangi ndio anakuweka mjini wewe na familia yako.

repect kwa wachaga, mimi sio mchaga lakini siwezi wadharau, kwanza wao ndio chachu ya maendeleo na wametufundisha upiganaji sana hususani sie wa makabila mengine.
 
jamani wachagga all of them wanaroho za kikatili...huwa nashindwa kupata jibu kwa hawa watu, ni wa aina gani? mbona wako dffrnt na makabila mengine ukiwatoa (wakurya) .......kuna bwana mmoja aliingia shop kuulizia bei ya viatu..sasa wakati amekishika kile kiatu anatesti yule kijana wakichaga (muuzaji) akafikiri anasepanacho alimpiga teke mpaka chali akamfata mchaga mwenzake aje wasaidiane kumpiga, wakaja na wengine wakaanza kupiga hadi jamaa akapoteza fahamu dah! hawa jamaa wanaroho gani lakini? kwanini hawana uvumilivu au kwanini wasimshike kistaarabu wajuwe kama nikweli alitaka kuiba?
 
St

Story ya kufurahisha watoto
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom