athumani mbaulla
New Member
- Jan 1, 2016
- 2
- 0
Wachaga bodo sanaaaaa
Kila napojaribu kutafakari uteuzi wa Magufuli kuanzia kwa mawaziri...makatibu wakuu na manaibu makatibu wakuu sielewi nini hasa tumeikosea serikali yake...
I feel dissapointed and seggregated......
Labda wachagga wenzangu mnisaidie kufanya analysis Japo sina maana ya Ukabila.
very dissapointed
Acha kukaza shingo ndugu, Waziri wa elimu, Bi. Joyce Ndalichako ni mwenyeji na mzaliwa wa mkoa wa Kigoma.Mbona Waha mnapendaga kujipendekeza hivyo? Warundi wakubwa nyie, mtarudi kwenu sasa hivi! Nani alikudanganya kwamba huyo mama ni Mha?
mpuuzi kweli wewe,mwizi kuna ustaarabu hapo,ulishawahi kuibiwa wewe mwanamke wa kizaramo?kafute ujinga ndo uje humu jfjamani wachagga all of them wanaroho za kikatili...huwa nashindwa kupata jibu kwa hawa watu, ni wa aina gani? mbona wako dffrnt na makabila mengine ukiwatoa (wakurya) .......kuna bwana mmoja aliingia shop kuulizia bei ya viatu..sasa wakati amekishika kile kiatu anatesti yule kijana wakichaga (muuzaji) akafikiri anasepanacho alimpiga teke mpaka chali akamfata mchaga mwenzake aje wasaidiane kumpiga, wakaja na wengine wakaanza kupiga hadi jamaa akapoteza fahamu dah! hawa jamaa wanaroho gani lakini? kwanini hawana uvumilivu au kwanini wasimshike kistaarabu wajuwe kama nikweli alitaka kuiba?
Haaaa haaaa Wachagga mtaisoma namba awamu hii Dr Magufuli hataki mchezo kaingiza mpaka wanajeshi katika serekali yake Katibu Mkuu Maliasili na Utalii Major General Gaudence Milanzi huyu kama sikosei anatoka Kagera Katibu Mkuu wizara ya Mambo ya Ndani Major General Projest Rwegasira huyu naye anatokea mkoa wa Kagera.
Umewahi kumsikia mjeshi Major General Lema au Brigadier Mushi au Col Kimaro wangekuwepo Dr Magufuli angewapatia hata unaibu katibu mkuu wachagga wapo kwenye biashara bwana wakiingia serekali wanakwapua mifedha kama Basil Pesambili Mramba.