Wachagga na Serikali ya Magufuli

Wachagga na Serikali ya Magufuli

Status
Not open for further replies.
Tatizo jingine ni kwamba, hamuipendi ccm.
Na hapo k.koo mtahama tu!!!
Kuwaondoa wachaga kariakoo ni kuifuta kariakoo kwa ujumla, atawabania kwenye kazi za maofisini lakini kwenye biashara hakuna mwenye uwezo wa kuwatingisha wachaga
 
Kila napojaribu kutafakari uteuzi wa Magufuli kuanzia kwa mawaziri...makatibu wakuu na manaibu makatibu wakuu sielewi nini hasa tumeikosea serikali yake...

I feel dissapointed and seggregated......

Labda wachagga wenzangu mnisaidie kufanya analysis Japo sina maana ya Ukabila.

very dissapointed
NADHANI ANAJARIBU KUBADILISHA ULE UTAMADUNI WA KUZINGATIA KANDA KATIKA UTEUZI. ILA ANGENI-IMPRESS KAMA ANGEONDOA KIGEZO CHA U-CCM PIA. KUNA WATENDAJI WENGI SANA WAZURI NJE YA CCM ILA DHAMBI YAO NI KUWA UPINZANI. RUDISHENI KATIBA YA WARIOBA ILI TUACHANE NA UCHAMA KATIKA MASUALA YA UTENDAJI.
 
Hata burundi na rwanda ,walianza hivi hivi, mtu mmoja anaanza kujisikia kabila lake halijatendewa haki, mara kabila zima linajenga chuki juu ya serikali yote.............

Ukweli ndiyo huo. Maneno ya chuki na ubaguzi wa kikabila vimeanza Tanzania!
Tunatakiwa kupinga kivitendo hali hii ikiwa ni pamoja na kuwa na utashi wa kisiasa kufanya hivyo.
Hata hivyo, siasa sasa hivi zineingiliwa na wapuuzi wanaotegemea propaganda za kipumbavu zinazoweza kuliangamiza taifa kwa nia tu ya kupata madaraka.
 
ngoja nipitie list ya waliofanya madudu bandarini na TRA labda wapo maana huwezi kuwepo kila mahali we nani
 
tatizo lenu ni moja mumeweka ukabila mbele kuliko hata utendaji wa kazi, mfano robo tatu ya wafanyakazi waliofukuzwa TRA, na bandarini ni wachaga, pili mmezidi kuwekana kwenye nafasi hata kama mtu hana sifa anawekwa mfano KITILYa alipokuwa TRA aliajiri wachaga pekee yake, the same thing to what kimei is doing, tatizo ni kwamba wengine hawana vigezo wala sifa. mfano mwingine ni general wa magereza Minja kawapa wachaga wenzake ubwana jera wakati kuna wana sifa
The man has r

Labda hakupata voti za kutosha pande hizo just a guess
 
Kutesa kwa zamu. Hivi Sumaye hakuwa mchaga? Hata wakati wa Che Nkapa mkewe alikuwa mchaga. Wacheni kulialia Tanzania ni ya Watanzania uwe Nchaga, Nkwere, Mtindiga, Mmanyema, Hadzibo et al utakuwa kiongozi. Wacha ukabila wewe mbona wachaga wengi ndio waliokuwa wamejaa TRA etc?

Yah right. Hata mke wa Magufuli amekulia Moshi ..........!!!!
 
Ukabila unawasumbua Nigeria kwa sasa. Biafra wanataka kujitenga wanadai kabila la Igbo linabaguliwa. Lakini Buhari kawatajia rundo kubwa la waigbo ambao wako kwenye nafasi nzuri serikalini, tena kwa miaka mingi. Sipendi kuuangalia uchagga kama ni aina fulani ya ujanja. Wasukuma ndio kabila kubwa zaidi Tanzania, mikoa ya wasukuma ni Geita, Mwanza, Simiyu, Shinyanga na Tabora, kama nchi hii ingekuwa inaongozwa na falsafa za ukabila, JPM angekuwa ni msukuma wa tano kuongoza nchi lakini ni msukuma wa kwanza. Waliopaswa kulalamikia kubaguliwa wangekuwa ni wasukuma na sio wachagga. Ukabila huambatana na dharau za kipumbavu, na madhara yake ni uhasama wa chini chini uliopo Tanzania kwa sasa. Tuupige vita huu upuuzi unaoitwa ukabila.
 
Kama Rais alikuwa anaangalia vigezo kama utendaji na uadilifu (bila kuzingatia kabila( tafsiri yake wachaga wako rank ya chini. Pengine wachaga wa leo si sawa na wale wa zamani.
 
Katibu mkuu wizara ya afya, nae kapigwa chini, kosa nini mchaga
na makeke yake yooote maskini jipu likatumbuliwa,poleni wachaga kukosa serikali ya pombe ila jipeni moyo maana sekta nyiiingi mpo hivyo kukosa nafasi moja katika nafasi 50 ukatibu na 34 uwaziri siyo kukosa maendeleo maana hata hao 84 walioko ktk serikali hakuna la maana huko kwao maana wao wanatumbua maraha tu maendeleo yajilete yenyewe
 
Mgufuli anajua Wachaga hawampendi na yeye hakutaka kuremba,JK anajua kuvumilia lkn huyu jamaa mmh!!asie kupenda usimpende.
 
Ukabila unawasumbua Nigeria kwa sasa. Biafra wanataka kujitenga wanadai kabila la Igbo linabaguliwa. Lakini Buhari kawatajia rundo kubwa la waigbo ambao wako kwenye nafasi nzuri serikalini, tena kwa miaka mingi. Sipendi kuuangalia uchagga kama ni aina fulani ya ujanja. Wasukuma ndio kabila kubwa zaidi Tanzania, mikoa ya wasukuma ni Geita, Mwanza, Simiyu, Shinyanga na Tabora, kama nchi hii ingekuwa inaongozwa na falsafa za ukabila, JPM angekuwa ni msukuma wa tano kuongoza nchi lakini ni msukuma wa kwanza. Waliopaswa kulalamikia kubaguliwa wangekuwa ni wasukuma na sio wachagga. Ukabila huambatana na dharau za kipumbavu, na madhara yake ni uhasama wa chini chini uliopo Tanzania kwa sasa. Tuupige vita huu upuuzi unaoitwa ukabila.
usichanganye mambo magufuli siyo Msukuma ni MSUBI, wasubi wanapatikana chato, nyakanazi baazi ya maeneo ya bihalamulo.
 
Hii Tanzania ni yetu sote zamu hii ya watu wengine mbona miaka yote Kaskazini mnatoa Mawaziri wakuu kama Msuya, Lowassa, Sumaye, Sokoine, na Mawaziri wengi tu na Mramba, Chami, Yona, lakini watu wa mikoa mingine hawalalamiki.

Hapa Kazi Tu.
ha ha ha ha ha ha!wamepata ujira wa udhalimu wao,kila kona ya nchi hii Mchaga yupo lakimi lazima awe CDM,inakera!!!
 
usichanganye mambo magufuli siyo Msukuma ni MSUBI, wasubi wanapatikana chato, nyakanazi baazi ya maeneo ya bihalamulo.
Tusianzishe ligi ya maneno, navyofahamu mimi mama yake JPM ni mhaya, baba yake ni msukuma, kwa maana ya wale waliohamia miaka mingi iliyopita kule Chato kwa ajili ya kutafuta chakula cha mifugo. Lakini ujumbe wangu ni kuupinga ukabila kwani madhara yake ni makubwa haswa barani Afrika, ndio maana nikatoa mfano wa Nigeria. Kilicho muhimu ni kuupinga ukabila na sio kabila la JPM. Ziko njia nyingi za kuelimisha jamii.
 
ninavyojua wachaga ni wachakarikaji. sasa mnataka mkachakarike kwenye ofisi za serikali?. yaani vyoo vya serikali viwe ni vya kulipia! chakula cha mchana cha wakurugenzi vinunuliwe kwa wale mama lishe wanaopikia chakula mbagala na kukifunga kwenye kanga zilizochakaa kisa kubana matumizi? chakarikeni. tengenezeni mabasi ya mbao, ongezeni shule za bweni na kutwa. tengenzeni madawati ya plastiki. nyie vipi? mleta mada amefilisika kimazingira ya tabia nchi.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom