Miiku
JF-Expert Member
- Oct 8, 2014
- 3,835
- 2,648
Tunataka wapewe vitengo nyeti.Lakini wakuu wa wilaya bado hawajateuliwa. Pia mkuu wa Magereza naye si ni mchaga sasa mnataka nini!!
Tunataka wapewe vitengo nyeti.Lakini wakuu wa wilaya bado hawajateuliwa. Pia mkuu wa Magereza naye si ni mchaga sasa mnataka nini!!
Hahaaa Jf....made my dayWachagga wako Moshi kwa ajili ya Christmas na Mwaka mpya!! Magufuli hajawaona angewateuaje?
Magu atatuletea balaa la Ukabila. Embu ona sasa kule kuitwa tu Mushi ni Kosa!Katibu mkuu wizara ya afya, nae kapigwa chini, kosa nini mchaga
Mungu akubariki kwa maneno yako mazuri, nakuombea mwaka 2016 uwe wa mafanikio. Nimeupenda Utanzania wako.Hii ni karne ya 21 mnaongelea ukabila, mnataka kutulazimisha tupande bus la makabila? Mnataka kutambika?
wachagga wana mkoa mmoja tu ambao ni kilimanjaro, wasukuma wana tabora, mwanza, shinyanga, geita na simiyu lakini huwezi kuwasikia wakiongelea upuuzi wa kutaka special treatment kama za huyu jamaa aliyeanzisha hii mada. Kila kabila ni bora na linastahili kula cake ya taifa. hizo mindsets za ukabila ni mbaya na sina mwisho wenye madhara kwa nchi.Nyerere alipambana na hili kabila akashindwa, mwinyi, mkapa na kikwete nao hivyohivyo wakashindwaa, naona magufuli nae anajitahidi.
Hato weza kwani ni kabila kubwa ambalo asilimia 60 ya watu wake ni wasomi na wanapendana, ni wamojaa
Haha unawachokozaTatizo jingine ni kwamba, hamuipendi ccm.
Na hapo k.koo mtahama tu!!!
Safisana wanajiona sana Hawa watuUsiwe mjinga, kwani kuna mahali pameandikwa wachaga lazima muwepo? Unataka kuniambia kuwa mababila yote zaidi ya 50 hapa Tz yanawakilishwa isipokuwa wachaga?? Hovyo kabisa!
Halo umenena mkuuMmeibia Nchi Hii Kwa Muda Mrefu Na Sasa Ni Lazima Muisome number kama Wakazi wa Mabondeni.
hongera sana mkuuUteuzi wa viongozi hukuangalia ukabila, ametumia vigezo vya uwezo. Nathani wewe umetumia vigezo vya ukabila kuchambua uteuzi aliofanya Rais Dr Magufuli
Don't get me wrong, MM ni mchagga lakini sipendi kuangalia vitu kwa ukabila.
Wabunge wamechaguliwa na RAIA sio raisHamna, hana maaan hiyooo, hta waliowekwa sio ndio wamefika, wakikosea tuu fagio wanalo!! Ila wabunge wachaga si wapo!!
Ila mi nahis km mmejitenga wenyewe, nyie wenyewe si ndio mmejitoa ccm?!!!Wabunge wamechaguliwa na RAIA sio rais
ndio maaana limeanzishwa taifa la ngosha. eti ngosha ni wengi hawaitaji vikabila vingine ngoshaland hoyeeeeeeee . Sikuizi taaarifa ya habari Geita lazima itajwe Dsm chamtotowachagga wana mkoa mmoja tu ambao ni kilimanjaro, wasukuma wana tabora, mwanza, shinyanga, geita na simiyu lakini huwezi kuwasikia wakiongelea upuuzi wa kutaka special treatment kama za huyu jamaa aliyeanzisha hii mada. Kila kabila ni bora na linastahili kula cake ya taifa. hizo mindsets za ukabila ni mbaya na sina mwisho wenye madhara kwa nchi.
Shemeji @kiwatengu Happy new year nduguWachagga wako Moshi kwa ajili ya Christmas na Mwaka mpya!! Magufuli hajawaona angewateuaje?
Shemeji @kiwatengu Happy new year nduguWachagga wako Moshi kwa ajili ya Christmas na Mwaka mpya!! Magufuli hajawaona angewateuaje?
Kila napojaribu kutafakari uteuzi wa Magufuli kuanzia kwa mawaziri...makatibu wakuu na manaibu makatibu wakuu sielewi nini hasa tumeikosea serikali yake...
I feel dissapointed and seggregated......
Labda wachagga wenzangu mnisaidie kufanya analysis Japo sina maana ya Ukabila.
very dissapointed