Wachagga na Serikali ya Magufuli

Wachagga na Serikali ya Magufuli

Status
Not open for further replies.
Kitu ninachokiona na kinachoendelea ni baadhi ya watu kujivika Uchagga na kutumia fursa hiyo kuchonganisha wachagga na kabila zingine za nchi hii... Sie wachagga wenyewe hatufadhaiki na haya yanayoendelea tukiamini kwamba Magufuli amechagua watendaji wake kwa sifa na uchapakazi wao na si kuwakomoa watu fulani fulani...

Lakini kama amechagua kwa sababu za kukomoa watu fulani fulani, basi ajue hao watu hawatamfikisha kokote...
 
Umesahau ujambazi mkuu - ukisikia ujambazi uliyo pitiliza mipaka uwakosi!! Wakati fulani nilifikiri ndugu zao Mungiki wamehamia Tanzania, umahili wa Dk.Jakaya Kikwete ndio uliokoa jahazi - hali ilikuwa ni mbaya sana mwanzo mwanzoni mwa utawala wake.
NI KAZI YA SERIKALI KUHAKIKISHA WANANCHI WAKE WANAFUATA SHERIA, WIZI/UJAMBAZI HAUNA KABILA.
 
wachaga wapo wengi sana in numbers,na wasomi wapo wengi pia,sitaki kuamini kama maguful hajaona hata msomi mmoja mchaga,mbona sehem nyingine kachukua watu mara mbili mbili?kama hawataki wachaga basi waseme.Tunafaham wanasiasa wapinzani wapo wengi kasikazini,lakini watu wa ccm pia wapo huko huko kaskazin,wapo wachaga ambao ni ccm pia-wawekwe hao,
Ni kweli mmesoma sana, lakini sio kigezo cha nyie kutawala kila mahali, khaaaa!? Waacheni na hao wasomi wachache wa makabila mengine watawale, alafu wachaga nyie hamkuzaliwa kwa kazi za maofisini, wala hampendezei kukaa ofisini, nyie kwenu mashambani na biashara uwekezaji kwa ujumla, mbona kwenye hizo sekta mnafanya vizuri sana? Tugawane majukumu bwana, sio kila sekta nyie tu
 
Wachaga bora waachwe kwanza washamba sana hawajui hata kukata mauno kitandani ,wanalala tu kama gogo
Sasa wewe ndio kilaza mwingine, watu wanawaza jinsi ya kukuza uchumi wewe unawaza mauno, huu ndio upumbavu mwingine watanzania tulionao, kama mtu hakubahatika kusoma basi anajua wajibu wake kwa jamii ni ngono, wachaga sio wote waliosoma kwa taarifa yako lakini wote wana akili ya kutafuta, hakuna mwanake wa kichaga utamkuta kapaka kucha rangi wala kaweka kope bandia wala kapaka wanja, wote mida hii wanabiashara mkononi, wakuuza mitumba, ndizi, maparachichi, takataka zote wao wanafanya, hawachagui wala hawana mapozi linapokuja swala la kutafuta pesa, na ndio maana wameendelea kwa kiasi kubwa, sasa nyie mlioekeza kwenye viuno mtakavyokutana na wachaga kitandani lazima muone tofauti.
 
Wachaga bora waachwe kwanza washamba sana hawajui hata kukata mauno kitandani ,wanalala tu kama gogo
Kuna kale kausemi kale ''beauty without brain, private party suffer the most'' sasa ukichunguza wale wote wanaojisifia kuwa wanajua sana mapenzi sijui wakata viuno kama feni, utagundua ni ziro brain, na kuishi kwake kunategemea uchi wake. Uchagani watu husifika kwa pesa.
 
Hii Tanzania ni yetu sote zamu hii ya watu wengine mbona miaka yote Kaskazini mnatoa Mawaziri wakuu kama Msuya, Lowassa, Sumaye, Sokoine, na Mawaziri wengi tu na Mramba, Chami, Yona, lakini watu wa mikoa mingine hawalalamiki.

Hapa Kazi Tu.

Sion athari yoyote kwa mchagaa yoyote kisa eti hakuna mawaziri wachagga! Wewe ndo umejua kazi leo, lakin nataka nikuhakikishie wachagga na kazi ni sawa na mizizi na ardhi! Hili halina ubishi mkuu.

Kazi wameanza enzi na enzi na ni culture kwao hawa jamaa! Wewe unakuja kusema "hapa kazi" leo hii mwaka 2016, wakati wao kazi wameanza toka karne ya 15 ulipoanza utawala wa wamangi, ambaye ndo aliekuwa mtendaji mkuu huko uchagani! Sheria za huyo mangi, jpm hafuati hata robo! Ilikua ni kazi tu, na kama hufanyi kazi ole wako, lazima upate habari yako!

Sion mwanasiasa mchagga aliefanikiwa kutokana na siasa! Waachen wachagga wakae kama walivyo! Nafikiri kama inawezekana, wapeni Jamhuri yao muone kama kuna mahali watakwama! Kama hamjenda kuomba msaada kwao!

Chezea wengine ila usichezee hii namba. Wachagga na wahaya ni very intelligent! Sisemi kuwa wengine sio intelligent, isipokuwa wana "uniqueness" yao ambayo nyie akina Riz, mnaweza mkaipata baada ya kizazi chenu ku-perish. Of which it will take you hundred years bro.

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
kwani kabila ilikuwa ni moja ya vigezo katika uchaguzi wake wa viongozi???

nonsense!!!
 
Sasa wewe ndio kilaza mwingine, watu wanawaza jinsi ya kukuza uchumi wewe unawaza mauno, huu ndio upumbavu mwingine watanzania tulionao, kama mtu hakubahatika kusoma basi anajua wajibu wake kwa jamii ni ngono, wachaga sio wote waliosoma kwa taarifa yako lakini wote wana akili ya kutafuta, hakuna mwanake wa kichaga utamkuta kapaka kucha rangi wala kaweka kope bandia wala kapaka wanja, wote mida hii wanabiashara mkononi, wakuuza mitumba, ndizi, maparachichi, takataka zote wao wanafanya, hawachagui wala hawana mapozi linapokuja swala la kutafuta pesa, na ndio maana wameendelea kwa kiasi kubwa, sasa nyie mlioekeza kwenye viuno mtakavyokutana na wachaga kitandani lazima muone tofauti.

Aa mrembo naomba # yako simu tafadhali.
 
Sion athari yoyote kwa mchagaa yoyote kisa eti hakuna mawaziri wachagga! Wewe ndo umejua kazi leo, lakin nataka nikuhakikishie wachagga na kazi ni sawa na mizizi na ardhi! Hili halina ubishi mkuu.

Kazi wameanza enzi na enzi na ni culture kwao hawa jamaa! Wewe unakuja kusema "hapa kazi" leo hii mwaka 2016, wakati wao kazi wameanza toka karne ya 15 ulipoanza utawala wa wamangi, ambaye ndo aliekuwa mtendaji mkuu huko uchagani! Sheria za huyo mangi, jpm hafuati hata robo! Ilikua ni kazi tu, na kama hufanyi kazi ole wako, lazima upate habari yako!

Sion mwanasiasa mchagga aliefanikiwa kutokana na siasa! Waachen wachagga wakae kama walivyo! Nafikiri kama inawezekana, wapeni Jamhuri yao muone kama kuna mahali watakwama! Kama hamjenda kuomba msaada kwao!

Chezea wengine ila usichezee hii namba. Wachagga na wahaya ni very intelligent! Sisemi kuwa wengine sio intelligent, isipokuwa wana "uniqueness" yao ambayo nyie akina Riz, mnaweza mkaipata baada ya kizazi chenu ku-perish. Of which it will take you hundred years bro.

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Aise Hii Hatari shimboni na ishomile
 
@1954, nafikiri Wachagga ambao hawaijui historia wakikusoma wanaweza kujifunza kitu na kuwasaidia kupunguza majigambo kidogo.
 
Tatizo nyie mmesoma sana, alafu kila sekta mpoo!!
Wachaga ni kati ya makabila zaidi ya 120 Tanzania. Wakati wa Uhuru 1961 baraza la mawaziri lilikuwa na mawaziri 11:ambako 2 walikuwa wachaga. Kwa miaka 54 hajakosekana waziri mchaga. Mwaka huu hakuna waziri au Katibu mkuu mchaga imekuwa nongwa au wao ni bora zaidi katika utumishi wa umma kiasi kwamba wasipochaguluwa utawala wa nchi utayumba? Hadi sasa baada ya miaka 54 ya Uhuru kuna makabila hayajapata waziri au Katibu mkuu. Au makabila haya ni dhaifu katika utumushi wa umma kiasi kwamba wakichaguliwa utawala wa nchi utayumba?
 
Haaaa haaaa Wachagga mtaisoma namba awamu hii Dr Magufuli hataki mchezo kaingiza mpaka wanajeshi katika serekali yake Katibu Mkuu Maliasili na Utalii Major General Gaudence Milanzi huyu kama sikosei anatoka Kagera Katibu Mkuu wizara ya Mambo ya Ndani Major General Projest Rwegasira huyu naye anatokea mkoa wa Kagera.

Umewahi kumsikia mjeshi Major General Lema au Brigadier Mushi au Col Kimaro wangekuwepo Dr Magufuli angewapatia hata unaibu katibu mkuu wachagga wapo kwenye biashara bwana wakiingia serekali wanakwapua mifedha kama Basil Pesambili Mramba.
 
Kuna haja ya Wachagga kuandika barua ya wazi kwa rais...kuonyesha hisia zao jinsi walivyodhalilisha ktk serikali ya awamu ya JPM....
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom