Wachagga na Serikali ya Magufuli

Wachagga na Serikali ya Magufuli

Status
Not open for further replies.
Mi nashangaa sana mtu mzima mwenye elimu anapokuja na hoja za ubaguzi wa watanzania huku amesoma na anaijua historia ya nchi yetu vizuri. Tanzania ina makabila 120 na zaidi. Hivi kila kabila tukisema lazima litoe waziri na katibu mkuu nchi itatawalika? Mi ni mhangaza na kabila langu halijawahi kutoa waziri mbona sisemi nimebaguliwa. Tuache ukabila na ukanda nchi yetu ni moja. Hakuna makabila ya watawala wala makabila ya watawaliwa. Kiongozi anaweza kutoka kabila lolote, dini yoyote, mkoa wowote na kanda yoyote ilimradi tu ana sifa stahiki. Hongera sana Dr Magufuli, HAPA KAZI TU
 
jina langu la a.k.a.nambiee

Hahhaaaa...nimeelewa sasa wa tz lazima tufike mahali tuelewe maana ya utaifa...kuleta mada ya uchagga tu imekuwa shida kabisa....hii inaonyesha jinsi gani watanzania tunajidai wamoja lakini si kweli....mitusi na kejeli kibao dhidi ya wachagga...Kumbe tunaukana ukabila tu midomoni.

Tanzania ni yetu sote bila kujali nani anaongoza..
MUNGU IBARIKI TANZANIA
 
Hii Tanzania ni yetu sote zamu hii ya watu wengine mbona miaka yote Kaskazini mnatoa Mawaziri wakuu kama Msuya, Lowassa, Sumaye, Sokoine, na Mawaziri wengi tu na Mramba, Chami, Yona, lakini watu wa mikoa mingine hawalalamiki.

Hapa Kazi Tu.
Tusiume maneno NYINYI NI MAJIZI, WABINAFSI NA WAKABILA SANA. Awamu hii mtaisoma tu.
NAONA MNAISOMA NUMBER?+,nimeamini nyinyi ni wabinafsi sana
Chauvinism is never rational; no matter how sound it may appear.
Hivi na wagogo, wamassai, Wahehe, Wakinga, Wamakonde, Wahaya wakiwa na Akili kama zako tutafika kweli?
Hebu acha UZANDIKI na MAJUNGU
Tatizo lenu hamjui umuhimu wa hili kabila katika swala nzima la kuharakisha maendeleo.
 
Wafrika bado tuna ukabila na ni aibu eti unakuta limtu linazungumzia ukabila....sjui kuonewa ?
Mtu ambaye anaendekeza ukabila huwa kwangu ni f@! $k tu
 
Hivi unajua % kubwa ya wachaga ndiyo wanaendesha serikali kwa kukusanya mapato makubwa serikalini!!
 
Halafu msipodhibitiwa mtatuletea ukabila nyie wachagga maana ake thread za kichaga hazipungui humu jamvini.jaribuni kuwa wastaatabu hivi nasisi wakwere tukianzisha hapa patakalikaa?
Mimi sioni umuhimu wa wakwere hapa nchini ndio maana hata hatuwezi kupoteza mda kumjadili mkwere!!
Tulijaribu kuwapa nchi Kikwete! Matokeo yake sote tunayajua.
 
Unajua mnajiona bora sana sasa mtaisoma kwan makabila mengine mbona hawalalamiki au nyie ndo ruling class
 
Nyerere alisema watanzania ukabila upo kwenye damu. Ukitaka kujua mtu ni mkabila utaona pale anapopatwa msukosuko. Inaoneka mtoa mada ameguswa direct au indirect na uchaguzi unaofanywa na Dr. Magufuli.
 
Last edited:
Makabila Tanzania yapo 120 na ushee. Wizara zipo ngapi? Ingawa wachaga wamewakilishwa ktk level ya katibu mkuu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom