Wachagga na Serikali ya Magufuli

Wachagga na Serikali ya Magufuli

Status
Not open for further replies.
watu hawateuliwi kwa kabila bali uwezo na kutumikia wananchi bila unafiki. Hivi uchagani wabunge wa ccm ni wangapi vile??
kweli ni wachache,lakini zipo sekta na nafasi ambazo hazihitaji uwe mbunge ndo upewe hicho cheo,embu nikuulize,ni watu wangap wa kanda ya ziwa wapo wamechaguliwa?then tafuta rate ya illiteracy kati ya mkoa wa kilimanjaro na arusha ukompee na level ya iiliteracy kwa kanda ya ziwa ndo utapata jibu.
 
WACHAGA WANAJIONA SANA. WACHA WAISOME NAMBA. WAENDE WAKACHUKUE VYEO WALIVYOAHIDIWA NA FISADI

Nafikiri kuna watu wanatakiwa kujua kuwa Hakuna mtu wa Kaskazini anayeisoma namba ....asilimia kubwa wanaishi Maisha juu ya Kiwango cha umaskini ( poverty line ) .....ratio ya nyumba bora na za kudumu ni Kati ya bora kwa Afrika mashariki .......Kiwango cha elimu kwa Kaya Kiko juu .....na Uchumi wa familia kwa ujumla ...yote hayo wameyafanya kwa kujitegemea Kama Kulima ngano, Mahindi,miwa,Kahawa ,ufugaji ,na biashara ...SASA HIYO NAMBA WANAISOMAJE??
 
Hatari kubwa ! Lakini Sidhani Kama Magufuli ana chuki na wachaga hawezi kuwakomoa hivyo.
UKITAFUTA MAMBO SANA UTAONA KAMA WACHAGA WALISHAANZA KUOGOPWA HATA HAPO MAGOGON TANGIA SERIKALI ILIYOPITA.YANI UKIWA MCHAGA WW NI CHADEMA TU HATA KAMA UMEVAA SHAT YA KIJAN
 
Ukabila hauna nafasi. Nadhani JPM amekwepa vitabia vya kupenda dili na ubinafsi
 
Ingawa wapo wengi wenye sifa ambao wanatoka makabila mengine. Wote ni Watanzania, yeyote anayeteuliwa ni sawa tu.
 
wachaga wapo wengi sana in numbers,na wasomi wapo wengi pia,sitaki kuamini kama maguful hajaona hata msomi mmoja mchaga,mbona sehem nyingine kachukua watu mara mbili mbili?kama hawataki wachaga basi waseme.Tunafaham wanasiasa wapinzani wapo wengi kasikazini,lakini watu wa ccm pia wapo huko huko kaskazin,wapo wachaga ambao ni ccm pia-wawekwe hao,
Unafikiri kwa kichwa au makalio…!!!
 
Hapa naona ukanda na ukabila unaleta shida. Kuna Watu walitaka Rais atoke kwa na hao ndio wanaleta hoja dhaifu kama hizi.
 
Kuna harufu ya ukabila unalinyemelea taifa
 
SO FAR UTEUZI BADO HAUJAFIKIA MWISHO,ANYDAY,ANYTIME ANAWEZA FANYA MABADILIKO,LETS HOPE FOR THE BEST-
Unafikiri kwa kichwa au makalio…!!!
JINA LAKO TU LINASADIFU KICHWA CHAKO KIPO VIPI.BY THE WAY TUFANYE KAZI,MIMI AWEKE MCHAGA,AWEKE MMASAI AU MKWERE,HAWANISAIDII KITU PERSONALLY-SO WHATEVER HE'S GOING TO ACT-LET HIM ACT,MBONA ALIKUWA YEYE NA PM MAMBO YAKAENDA NA HAKUNA ALIYELALAMIKA?TUFANYE KAZI .THATS ALL
 
Hii ni thread ya ajabu. Tanzania ina makabila yapatayo 120. Hivi mkabila haya yote (isipokuwa Wachagga) yana mtu kwenye Baraza la Mawaziri? Ubinafsi na umimi ni jambo baya mno.
 
Nafikiri kuna watu wanatakiwa kujua kuwa Hakuna mtu wa Kaskazini anayeisoma namba ....asilimia kubwa wanaishi Maisha juu ya Kiwango cha umaskini ( poverty line ) .....ratio ya nyumba bora na za kudumu ni Kati ya bora kwa Afrika mashariki .......Kiwango cha elimu kwa Kaya Kiko juu .....na Uchumi wa familia kwa ujumla ...yote hayo wameyafanya kwa kujitegemea Kama Kulima ngano, Mahindi,miwa,Kahawa ,ufugaji ,na biashara ...SASA HIYO NAMBA WANAISOMAJE??

Endelea na mawazo hayo. Nyie mtaendelea kubaki hivyo hivyo na wengine wataendelea kuwa maskini. Hiyo ndiyo furaha yenu...ipo siku kama siyo kizazi chako basi kizazi kingine kitakuja jutia majivuno ya aina hii.
 
Tumeshituka wachaga wote ni upinzani tena bila aibu hata muweserikalini hamjifichi sasa subirini wote mtatoka tumeanza waziri sasa makatibu tunakuja huko mlipo tunawatowa wote
 
Kaona mnaharibu TRA ambako mlikuwa wengi.
Ila pia mnavuna mlichopanda maana ata KURA hamkumpa JPM za kutosha
 
Nyie ukanda na ukabila sijui nani kawaloga ,
Mfano Tanzania inamakabila 51, lakini sijaona kabila lolote linalalamika nyie tu ili pepo litawafikisha pabaya,mungu awaokoe
 
CRDB kama wewe sio mchaga kupata kazi nafasi ni finyu, TRA Mramba na Mgonja walishamaliza kazi wamejaa Kilimanjaro, Bandarini nk. Hawa watu kila wizi wa hii nchi huwakosi. Nasema hata awe Mchungaji, Shekhe au padre akiwa mchaga lazima awe na vinasaba vya wizi kwa asilimia zaidi ya hamsini na wabaguzi wakubwa.

wapumzike wengine waendeshe nchi tuone bhana..!
 
Nakuunga mkono mkuu...ila binafsi mimeshtushwa sana..jaribu pia kufanya simple research utaniambia

Nyie pepo LA uchanga na ukabila mnatembea nao adi chooni,makabila 51 sijaona anayelalamika nyie ndo mnapiga kelele kweli kweli ,
 
Mkuu
CRDB kama wewe sio mchaga kupata kazi nafasi ni finyu, TRA Mramba na Mgonja walishamaliza kazi wamejaa Kilimanjaro, Bandarini nk. Hawa watu kila wizi wa hii nchi huwakosi. Nasema hata awe Mchungaji, Shekhe au padre akiwa mchaga lazima awe na vinasaba vya wizi kwa asilimia zaidi ya hamsini na wabaguzi wakubwa.

wapumzike wengine waendeshe nchi tuone bhana..!

Mkuu njoo NMB kigoma uone wao Tupi haupati kazi japo,lkn huyu jamaa anayelalamika Tz yapo makbila 51 yeye ndo ameona wachaga ndo bora kuriko wengine
 
Tumeshituka wachaga wote ni upinzani tena bila aibu hata muweserikalini hamjifichi sasa subirini wote mtatoka tumeanza waziri sasa makatibu tunakuja huko mlipo tunawatowa wote
Sio tatizo tabia YAO ya wizi ndo shida
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom