Wachagga na Serikali ya Magufuli

Wachagga na Serikali ya Magufuli

Status
Not open for further replies.
Kila napojaribu kutafakari uteuzi wa Magufuli kuanzia kwa mawaziri...makatibu wakuu na manaibu makatibu wakuu sielewi nini hasa tumeikosea serikali yake...

I feel dissapointed and seggregated......

Labda wachagga wenzangu mnisaidie kufanya analysis Japo sina maana ya Ukabila.


very dissapointed
Achana naye.
 
Ukabila upo.Wakati wa campaign juzi tu juu ya jukwaa kabisa ilitamkwa sasa ni zamu ya wa....... kutawala.Nani hakusikia pale Kirumba?
 
Kila napojaribu kutafakari uteuzi wa Magufuli kuanzia kwa mawaziri...makatibu wakuu na manaibu makatibu wakuu sielewi nini hasa tumeikosea serikali yake...

I feel dissapointed and seggregated......

Labda wachagga wenzangu mnisaidie kufanya analysis Japo sina maana ya Ukabila.


very dissapointed
Pole, ila mmeipasua hii nchi kwa ukabira hasa uchagga ilikuwa hawezekani wachaga wote wawe chadema zaidi ya cuf na wapemba pemba hata waliobaki CCM na serikalini ndio waliokuwa mainfoma. Sasa wenzenu wanawaogopa manake nyie kwenu na mnakotoka kwanza. Sasa mmeshindwa vita tulieini kwanza.
 
Usiwe mjinga, kwani kuna mahali pameandikwa wachaga lazima muwepo? Unataka kuniambia kuwa mababila yote zaidi ya 50 hapa Tz yanawakilishwa isipokuwa wachaga?? Hovyo kabisa!
mkuu nchi ina makabila zaidi ya 120-150. tatizo hawa jamaa walalamishi sana. na pili wezi.
 
Kila napojaribu kutafakari uteuzi wa Magufuli kuanzia kwa mawaziri...makatibu wakuu na manaibu makatibu wakuu sielewi nini hasa tumeikosea serikali yake...

I feel dissapointed and seggregated......

Labda wachagga wenzangu mnisaidie kufanya analysis Japo sina maana ya Ukabila.


very dissapointed
kumbe na nyie huwa mnalalamika? mbona kila siku mko bize huku kuwasema wanaolalamika kuwa kuna raia wengine wamekuwa considered kama daraja la pili? sasa mnalalamika nini? acheni kwanza muisome number ili siku ingine musilete kashfa zenu za kifala. mkuki kwa nguruwe huo sasa........
 
Mkuu uzuri wachagga ni wapambanaji...hawategemei maendeleo sababu ya kuwa na waziri au naibu...hapa suala zima ni dhana ya uwakilishi. Kama kuna anayedhani maendeleo ni sababu ya kuwa na waziri au naibu this time mshangao utakuwa mkubwa zaidi
ama kweli wewe ni mpumbavu kweli kweli. Tanzania ina makabila zaidi ya 150 kuna nafasi za mawaziri 35 tu na makatibu 50 jumla 85. kwa vyovyote vile ili kukidhi makabila yote ingebidi ateue hata viongozi hewa kwa akili zako za kingese.
 
Dadeeekik halafu walataka tuwape nchi hawa waoza meno... safi sana magu safi sana CCM


Hapa kazi tu kujinyea kupo chadomo
 
Wachaga hawana.tyme na mambo ya govmt wao wanashika uchumi tu
mbona mnalialia humu sasa kama ni kweli unamaanisha? mtaisoma number mpka muache tabia zenu hizi za kibaguzi na kujiona nyie ni bora zaidi ya watanzania wengine.
 
Tatizo nyie sio wakabila, sio wabaguzi , sio wezi ,na wakarimu sana pia mkipewa chance huwa hambebani. Yeye hataki malaika wa hiyo anataka ajaze mafisadi serikalini. Poleni wanakabila wenzangu ninaowapenda saaaanaaa
 
Mgebakiza watu wenu ccm labda mgepata ila naona wote mliwahamishia chadema, muwe na backup plan
 
Chagga we are true warriors, We are not satisfied with something small like other fellow, who was the meal of porridge and roasted NGOGWE he had come to an end😀😀😀😀😀😀😀....chagga master...akipata miatano anataka alfu moja, na akipata alfu moja anataka alfu mbili. by the chagga money iz not full, daily cries trouble. . UTAMSIKIA HAKI YA MUNGU SINA HATA HELA! bank has several million and many bussinesses only,,,Wiyuuuu
 
Ngoja Waha, Wairaq Wasambaa na makabila mengine waje nao kutoa yao ya moyoni.

Tuache kuscreen vitu kwa jicho la ukabila. Baada ya hapo tutaanza kuulizana waislamu ni wangapi, wakristu wangapi na wapagani ni wangapi.
 
Mgebakiza watu wenu ccm labda mgepata ila naona wote mliwahamishia chadema, muwe na backup plan


Haisaidii kwakuwa ccm wapo huko na wataendelea hutendi haki kudhani mikoa ya Kaskazini Hakuna ccm ....wapo Ila ni wanyonge kwakuwa wenzao ccm wanawaona ni chadema wanawatenga...na wale wa chadema wanawacheka Kupenda wasipopendwa......
Kukosa nafasi za uwaziri unaweza kusema hawana Mbunge ...lakini nafasi nyingine za utendaji zinazohitaji weledi na kadiri ya katiba masharti yake " usiwe mwanasiasa " ...sijui Kama kuna maelezo,..
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom