Wachagga na Serikali ya Magufuli

Status
Not open for further replies.
Hamna, hana maaan hiyooo, hta waliowekwa sio ndio wamefika, wakikosea tuu fagio wanalo!! Ila wabunge wachaga si wapo!!
 
Kila napojaribu kutafakari uteuzi wa Magufuli kuanzia kwa mawaziri...makatibu wakuu na manaibu makatibu wakuu sielewi nini hasa tumeikosea serikali yake...

I feel dissapointed and seggregated......

Labda wachagga wenzangu mnisaidie kufanya analysis Japo sina maana ya Ukabila.


very dissapointed
Na wewe? Waziri wa Elimu je? Lakini ulimtaka nani? Mwache Jumanne atuwakilishe!
 
Usiwe mjinga, kwani kuna mahali pameandikwa wachaga lazima muwepo? Unataka kuniambia kuwa mababila yote zaidi ya 50 hapa Tz yanawakilishwa isipokuwa wachaga?? Hovyo kabisa!

ungekuwa political analyst ungeelewa topic.....at the end nimeomba mchango kwa wachagga.....kama siyo Vunga
 
Uteuzi wa viongozi hukuangalia ukabila, ametumia vigezo vya uwezo. Nathani wewe umetumia vigezo vya ukabila kuchambua uteuzi aliofanya Rais Dr Magufuli
Don't get me wrong, MM ni mchagga lakini sipendi kuangalia vitu kwa ukabila.
 
Last edited:
Uchanguzi wa viongozi ukuangalia ukabila, ametumia vigezo vya uwezo. Nathani wewe umetumia vigezo vya ukabila kuchambua uteuzi aliofanya Rais Dr Magufuli
Don't get me wrong, MM ni mchagga lakini sipendi kuangalia vitu kwa ukabila.

Nakuunga mkono mkuu...ila binafsi mimeshtushwa sana..jaribu pia kufanya simple research utaniambia
 
Kila napojaribu kutafakari uteuzi wa Magufuli kuanzia kwa mawaziri...makatibu wakuu na manaibu makatibu wakuu sielewi nini hasa tumeikosea serikali yake...

I feel dissapointed and seggregated......

Labda wachagga wenzangu mnisaidie kufanya analysis Japo sina maana ya Ukabila.


very dissapointed


Kutesa kwa zamu. Hivi Sumaye hakuwa mchaga? Hata wakati wa Che Nkapa mkewe alikuwa mchaga. Wacheni kulialia Tanzania ni ya Watanzania uwe Nchaga, Nkwere, Mtindiga, Mmanyema, Hadzibo et al utakuwa kiongozi. Wacha ukabila wewe mbona wachaga wengi ndio waliokuwa wamejaa TRA etc?
 
halafu kabla hujajiuliza hili jiulize wabunge wangapi wa ccm ni wachaga?? wachaga wangapi wako kwenye vitengo ambavyo wangefaa kuteuliwa na niwaadilifu kwenye mali za uma hata kwa kiasi tu maana wezi ni wezi ila wengine ni majizi
Bhahahahahahaha, hilo nalo neeeeeeno
 
Hasa pale TRA walifanya ni makao ya wachaga (northern) wanetu waliosoma mambo ya -kodi pale Moshi na kufaulu vema wakienda TRA kuomba ajira wanaangaliwa kama si ndg zao wa kaskazi ni NO..!
Mmeibia Nchi Hii Kwa Muda Mrefu Na Sasa Ni Lazima Muisome number kama Wakazi wa Mabondeni.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom