Wachagga na Serikali ya Magufuli

Wachagga na Serikali ya Magufuli

Status
Not open for further replies.
tatizo lenu ni moja mumeweka ukabila mbele kuliko hata utendaji wa kazi, mfano robo tatu ya wafanyakazi waliofukuzwa TRA, na bandarini ni wachaga, pili mmezidi kuwekana kwenye nafasi hata kama mtu hana sifa anawekwa mfano KITILYa alipokuwa TRA aliajiri wachaga pekee yake, the same thing to what kimei is doing, tatizo ni kwamba wengine hawana vigezo wala sifa. mfano mwingine ni general wa magereza Minja kawapa wachaga wenzake ubwana jera wakati kuna wana sifa
 
Mmezidi wizi, kila sehemu unapo tokea ufisadi lazima mmoja wenu atakuwepo.
 
sioni kama ni tatizo serikali kutokuwa na viongozi wa juu wakichagga
 
Hata mimi nilikuwa namsikiliza wakati anataja makatibu wakuu. Nilimtazama wala sikummaliza, ila nikajisemea kuwa si ishu. North inajua kujipanga. North ni wajasiriamali
 
Wachaga wamezidi wizi maana kila wizi ukifanyika wachaga lazima wawepo sijui mpoje tu utadhani mmerogwa kwa wizi.
 
Hata mimi nilikuwa namsikiliza wakati anataja makatibu wakuu. Nilimtazama wala sikummaliza, ila nikajisemea kuwa si ishu. North inajua kujipanga. North ni wajasiriamali
Mtaisoma namba tu mlizoea kula vya bure kwa utapeli sasa lazima mfanye kazi hakuna wa kuwadekeza kwenye wizi wenu.
 
Ninyi Wachagga si mlishakubaliana vyeo na Lowassa. Mfuateni Huko akawape Baada ya kumpa kura zenu

Kila napojaribu kutafakari uteuzi wa Magufuli kuanzia kwa mawaziri...makatibu wakuu na manaibu makatibu wakuu sielewi nini hasa tumeikosea serikali yake...

I feel dissapointed and seggregated......

Labda wachagga wenzangu mnisaidie kufanya analysis Japo sina maana ya Ukabila.

very dissapointed
Kila napojaribu kutafakari uteuzi wa Magufuli kuanzia kwa mawaziri...makatibu wakuu na manaibu makatibu wakuu sielewi nini hasa tumeikosea serikali yake...

I feel dissapointed and seggregated......

Labda wachagga wenzangu mnisaidie kufanya analysis Japo sina maana ya Ukabila.

very dissapointed
 
Hata mimi nilikuwa namsikiliza wakati anataja makatibu wakuu. Nilimtazama wala sikummaliza, ila nikajisemea kuwa si ishu. North inajua kujipanga. North ni wajasiriamali
Sio issue, ila mjipange kweli kweli, maan na kodi lazima mlipe, kwa hy huo ujasiliamali pia, utakaa vyema
 
Ukabila umepamba moto, Ya WAHUTU na WATUTSI yananukia Tanzania. Ngoja tuone!

Yaani huu Utakuwa ni ujinga!
Wakiachwa wachaga ktk kuunda serikali basi ndio ukabila na vita!
Hebu mbona hamjiulizi kule chadema mbona hamna uwakilishi wa kimikoa!
Kama haya ndiyo mnayoyataka iweje kwenye chama cha chadema muwe nyinyi peke yenu!
Hivi tafsiri ya ukabila mwisho wake wapi!
Mfano, Chadema inheshinda uraisi, mngefanyaje ili Northerner's wawe na uwakilishi sawa ktk nchi!
Ubinafsi utawakaanga sana!
 
ukisikia ukabila ndo huo jmn mwenzko anatenda kaz we unaleta ukabila eti mbona sie hatumo dah!
 
Mleta mada sio mchaga.

Na wala asitake kutuunganisah kwenye mambo ya Ccm !!!
Mnajitekenya wenyewe Na kucheka wenyewe.
Ka

Kwani wewe h
Ccm ulitakaje ?? pekekeni mbwembwe zenu kuleessss
 
Mmezidi wizi, kila sehemu unapo tokea ufisadi lazima mmoja wenu atakuwepo.
Umesahau ujambazi mkuu - ukisikia ujambazi uliyo pitiliza mipaka uwakosi!! Wakati fulani nilifikiri ndugu zao Mungiki wamehamia Tanzania, umahili wa Dk.Jakaya Kikwete ndio uliokoa jahazi - hali ilikuwa ni mbaya sana mwanzo mwanzoni mwa utawala wake.
 
Kila napojaribu kutafakari uteuzi wa Magufuli kuanzia kwa mawaziri...makatibu wakuu na manaibu makatibu wakuu sielewi nini hasa tumeikosea serikali yake...

I feel dissapointed and seggregated......

Labda wachagga wenzangu mnisaidie kufanya analysis Japo sina maana ya Ukabila.

very dissapointed
Mlichomtenda kipindi cha kampeni anaanzaje kuwa na hamu na nyie??
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom