Wabunge wa JMT msipompa 'Uspika' Dkt. Tulia Ackson hakika 'nitawadharau' mpaka dunia itakapopinduka

Kaa kwa kutulia Kilaza wewe!
 
Hili bunge hata lisipokuwa na spika mi naona poa tu.

Kwahiyo hata akipewa Tulia au mwanae au mjomba wake mimi naunga mkono hoja.

Ngoja niendelee kuutafuta ule mpira uliopotezwa na ile timu iliyofungwa magoli 11 kwenye mechi tatu
Hivi hata huo uchafu unaoitwa bunge, usipokuwepo, kutakuwa na tofauti gani?

Bunge na hata huyo spika, wote ambao zao la uchafu, hawana msaada wowote kwa nchi. Ni aheri lingefutwa, pesa wanazopewa hawa waharibifuvwanaoitwa wabunge, atumie Rais kwa safari, ili tozo zifutwe.
 
Wazo la kufutwa hii takataka inayoitwa Bunge, naunga mkono.
 
Kama unavyomuona kuwa She's that Hopeless and Fool hata Sisi JF Brainy ( Einstein ) Members tunakuona nawe si tu ni Hopeless and Fool bali pia ni Certified Mental Jamvini hapa.
Uliishia darasa la ngapi? Siyo hopeless and fool, ni hopeless fool. Na unaposema certified mental, unamaanisha nini? Tafuta walimu wa chekechea, wapo wanaofahamu Kiingereza vizuri, watakufundisha. Hutakuwa na hiki Kiingereza cha kurushia neno moja moja mahali pasipostahili.
 
Kuna Wapuuzi wanamharibia atapita tu.

Katika Uchaguzi wa spika utakaofanyika Hivi karibuni, bila shaka ccm hawatarudia tabia mbaya ya Magufuli yakuwaengua watu ambao alikuwa anahisi walikuwa wanamzidi kwa elimu. Ushahidi ni pale alipowakata kugombea ubunge wale wote waliokuwa wasomi na wakubwa wa Umri kuliko yeye kama wakina Prof. Kapuya etc. na kuwa weka weaklings wake ambao angeweza kuwamanipulate kwa urahisi!!
Waacheni waliochukua form wachujwe kwa haki na sio kwa mizengwe. Waacheni wajieleze mbele ya vikao husika na kutokana na maelezo yao ndio wapigiwe kura.
Haitoshi watu kumpigia debe Tulia eti ni msomi na ana uzoefu hivyo anatosha!! Kama ni usomi na uzoefu utasemaje juu ya watu kama Andrew Chenge? Juu ya yote Tulia ni Deputy Speaker Hivi sasa na hajajiuzuru wadhifa huo hivyo anataka achaguliwe kuwa Spika huku bado ni deputy Speaker!! Double dipping is not allowed and immoral.
Watu waliojitokeza kugombea nafasi ya Spika wengi wao wanauwezo na wasomi wazuri wenye uzoefu wa nafasi; hivyo sina wasi wasi kabasa kuwa tutapata Spika mpya atakayeweka viwango vya kuridhisha humo bungeni.
As for Tulia's performance whenever she presided over parliamentary proceedings; she never showed seriousness when discussing serious issues for instance when she entertained childishness whenever Goodluck Mlinga then a member of parliament rose unnecessarily to raise points of order!!! A serious Speaker would never have entertained such time wasting stupidity.
 
Acha kuleta ujenda hapa
 
Tulia hafai, Bora hata ya Ndugai. Huyo atalifanya bunge kuwa kitengo Cha ikulu na sio mhimili wa dola.
 


Huyo Tulia anayo tamaa, nasikia inatakiwa kwanza ajiuzuluu unaibu spika kisha ndio achukue fomu ya kugombea Uspika, kinachotokea ni; akikosa kimoja japo apate kimojawapo.
 


Hapa sikuelewi; ulitaka asi respond to the point of order raised by the Mp??!!
 
Hapa sikuelewi; ulitaka asi respond to the point of order raised by the Mp??!!

Haikuwa mara moja , yule Mlinga alikuwa anatumika kuhalibu mijadara ya wapinzani bungeni na yeye kama Spika alikuwa anashabikia ujinga ule!! Alifanya hivyo sio mara moja bali mara nyingi Ikawa ndio kama comedy bungeni!!
 
Kichaa kabisa wewe.
 
😍
 
Wabunge wa JMT wana machaguo Mawili tu ama Wamchague Dk. Tulia Ackson ( Sakho ) ili niwapende, niwabariki na niwaheshimu Milele au wasimchague kisha nianze Kuwadharau, Kuwachukia na kuwaombea Mabaya ( hasa Mabalaa ) mpaka mwaka 2025.
🤣
 
Kumbe hata wee umo ktk kundi la wachumia tumbo, elim bora ni ya kuzliwa nayo, ya darasan ni nyongeza

Sent from my TECNO BC2c using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…