Wabunge wa JMT msipompa 'Uspika' Dkt. Tulia Ackson hakika 'nitawadharau' mpaka dunia itakapopinduka

“Mihimili yote wapeni wanawake wanaweza” na CDF na IGP msisahau pia
 
Unasikia mwanawao, bunge la marehemu Sitta lilionekana la viwango kwa sababu tu ya ugomvi binafsi kati yake Sitta na eliyekuwa waziri mkuu, Lowasa, na wala sio kwa sababu ya Spika.

Sitta alidhamiria kumkomoa Lowasa na aliweza, lakini tukija kwenye uhalisia marehemu Sitta nae alikuwa ni walewale tu, ushahidi ni jinsi alivyoboronga kwenye bunge la katiba mpya..
 
“Mihimili yote wapeni wanawake wanaweza” na CDF na IGP msisahau pia
 
😁😁😁😁😁😁
 
Tatizo sio wabunge wa CCM kumpa kura, ila changamoto ni kupitishwa na chama chake. Akipitishwa tu, obviously anakuwa spika. Nilisikia kuwa na yeye ni team mwenda zake ambayo mama amewengana nayo sana
Ndio maana hataki kujiuzuru unaibu? Ngoja tumuazimie kwenye chama.
 
Kama anauhakika na hilo mshaurini ajiuzulu unaibu ili hiyo nafasi itangazwe pia
 
“Mihimili yote wapeni wanawake wanaweza” na CDF na IGP msisahau pia



Wakipewa sababu ni wanawake tutakua kwenye taabu kubwa.

Wapewe wenye uwezo wa kuongoza kwa kufuata kanuni, taratibu na ufahamu sahihi wa kuchambua mambo na kufanya maamuzi sahihi yenye manufaa kwa taifa bila kujali ni wanawake au wanaume

Mungu ibariki Tanzania
 
Usitufananishie mchezaji wetu mahiri(Sakho) na huyo ushuzi.
 

Masele Naibu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…