Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,996
- 15,118
Kimfereji tu, kwani hujui mbuyu huanza kama mchicha...Zamani hakukuwa na bonde kubwa hapo,kilikuwa kimfereji tu
Kimfereji tu, kwani hujui mbuyu huanza kama mchicha...Zamani hakukuwa na bonde kubwa hapo,kilikuwa kimfereji tu
Mchicha haswa hapo panaitwa " Kinondoni Moscow" na hata mpunga ulilimwaKimfereji tu, kwani hujui mbuyu huanza kama mchicha...
Mchicha na msosi tumeandaliwa nakusubiri mtebetini uje ndugu yangu tuchape...Kimfereji tu, kwani hujui mbuyu huanza kama mchicha...
Ulilimwa na wakulima wenye hamasa ya kukuza mapatoMchicha haswa hapo panaitwa " Kinondoni Moscow" na hata mpunga ulilimwa
Tumeutawala sana huu msala wa utumbuaji majipu.Tuchape ndugu yangu tutakimbiwa maana ukumbi utakuwa tumeutawala
Majipu mengine yamekaa pabayaTumeutawala sana huu msala wa utumbuaji majipu.
Tumeutawala maana yake nini?hamtaWALI halafu mnaongelea kula waliTuchape ndugu yangu tutakimbiwa maana ukumbi utakuwa tumeutawala
Wali ndiyo chakula chetu kikuu tena uwe umepikwa kwa naziTumeutawala maana yake nini?hamtaWALI halafu mnaongelea kula wali
Nazi iliyo kunwa vizuri Na bi mkubwa sio ya Azam.mpaka rahaWali ndiyo chakula chetu kikuu tena uwe umepikwa kwa nazi
Raha kuchezwa mwili na mpenz so kuchezewa akili na mshenziNazi iliyo kunwa vizuri Na bi mkubwa sio ya Azam.mpaka raha
Mshenzi kwa watu wa pwani ni tusiRaha kuchezwa mwili na mpenz so kuchezewa akili na mshenzi
Tusi unalijua wewe?Mshenzi kwa watu wa pwani ni tusi
Wewe si neno la kistaarabu hasa kwa waungwanaTusi unalijua wewe?
Waungwana wa kweli hujuana kwa vilemba.Wewe si neno la kistaarabu hasa kwa waungwana
Vilemba tena vya PembaWaungwana wa kweli hujuana kwa vilemba.
Kutishana humu jf ushakuwa mchezo siku huzi
Vilemba vinauzwa kariakoo bei cheeWaungwana wa kweli hujuana kwa vilemba.
Chee Guavara alikuwa mwanamapinduzi hodari wa nchi ya Cuba.Vilemba vinauzwa kariakoo bei chee
Cuba imerudisha uhusiano na serikali ya MarekaniChee Guavara alikuwa mwanamapinduzi hodari wa nchi ya Cuba.