aneth joseph
Senior Member
- Apr 22, 2016
- 135
- 89
Tuchape wanafunzi wote walio manunda na hawasikii
Marekani wanaumbeleza kifo cha msanii mwenye jina la alama ya & nangaCuba imerudisha uhusiano na serikali ya Marekani
Marekani ndiyo supa power mwenye kutamba na mgombanishaji kwa jina la demokrasiya....!!Cuba imerudisha uhusiano na serikali ya Marekani
Nanga ya Prince haikumfaa yalipo mfika mauti, Yule malaika wa kumnyofoa roho alitoweka...Marekani wanaumbeleza kifo cha msanii mwenye jina la alama ya & nanga
Alitoweka akiwa ameshika mikono nyumaNanga ya Prince haikumfaa yalipo mfika mauti, Yule malaika wa kumnyofoa roho alitoweka...
Alitoweka Na roho.Kidume bhana hasubiri hata kidogo.Nanga ya Prince haikumfaa yalipo mfika mauti, Yule malaika wa kumnyofoa roho alitoweka...
Nyuma ya pazia ndipo kuna njama za kupeeana mambo kinyume na maadili !!!Alitoweka akiwa ameshika mikono nyuma
kidogo kina weza kuwa na Baraka kuliko kingi kisichokuwa na manufaa....Alitoweka Na roho.Kidume bhana hasubiri hata kidogo.
Manufaa ya Elimu ni kujisaidia Na kusaidia jamiikidogo kina weza kuwa na Baraka kuliko kingi kisichokuwa na manufaa....
JamiiForums ni kituo chenye matumaini kwa wanajamii katika mawasiliano....Manufaa ya Elimu ni kujisaidia Na kusaidia jamii
Mawasiliano ndio mwongozo wa maisha.JamiiForums ni kituo chenye matumaini kwa wanajamii katika mawasiliano....
mawasiliano ya uso kwa uso ni bora kuliko kuficha uso....!!Mawasiliano ndio mwongozo wa maisha.
Ninajifunza mengi humu Jamvini.Kuna mambo nilikuwa siyajui Leo naweza nikajidai kidogo, Kwa sababu ya mawasiliano.
Uso au sura zinafichwa humu kwa sababu ya usalamamawasiliano ya uso kwa uso ni bora kuliko kuficha uso....!!
Usalama ni muhimu ktk maisha Na nchi yetu.Uso au sura zinafichwa humu kwa sababu ya usalama
Muhimu kwa kuwa wanausalama wanatulindaUsalama ni muhimu ktk maisha Na nchi yetu.
Watu wengi wanaugopa usalama kisa kutolewa meno Na kucha.Usalama Ni muhimu.
Wanatulinda amani imetawala wanajamvi mmelela fofofoooo...Muhimu kwa kuwa wanausalama wanatulinda

Fofofoooo ni usingizi mzito. Na mara nyingi usingizi ni nusu ya kifo.Wanatulinda amani imetawala wanajamvi mmelela fofofoooo...
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Kifo ni sehemu ya maisha kwa mwanadamu kila mtu kitamkutaFofofoooo ni usingizi mzito. Na mara nyingi usingizi ni nusu ya kifo.