kubwa_Lao
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 934
- 1,186
hii ni counter attack ndio ninayotumia mpk ni mshindiViweza vitu gani ikiwa hii ndio kwanza tunaanza Na niatua nzuri Sana hii
hii ni counter attack ndio ninayotumia mpk ni mshindiViweza vitu gani ikiwa hii ndio kwanza tunaanza Na niatua nzuri Sana hii
Mshindi wa huu uzi ni mimi. Naomba hii ndiwe comment ya mwisho kabisa.hii ni counter attack ndio ninayotumia mpk ni mshindi
Mapema ya alfajiri ndipo riziki husambaa, mwenye hadhi yake anyakuwe..Tena wakati ruhsa ulitoa mapema
Mapema sana kutangaza mshindi wa uzi huu ndugu zangu saiditawani, mgogoone , mtebetini, Mainus msifanye haraka safari bado ndefu hadi tupitie sekta zote......Tena wakati ruhsa ulitoa mapema
Zote zimepita lakini hii ni comment bora zaidiMapema sana kutangaza mshindi wa uzi huu ndugu zangu saiditawani, mgogoone , mtebetini, Mainus msifanye haraka safari bado ndefu hadi tupitie sekta zote......
Zaidi yako mkuu hakuna mwingine mie binafsi napenda taswira zako humu.....Zote zimepita lakini hii ni comment bora zaidi
Humu kuna manguli wengi sana mkuu hasa wewe huwa nakuona kila jukwaaZaidi yako mkuu hakuna mwingine mie binafsi napenda taswira zako humu.....
Jukwaa linapo dorora na kuzama ZZ na wengine pia hujitosa kuliokoa....Humu kuna manguli wengi sana mkuu hasa wewe huwa nakuona kila jukwaa
Kuliokoa jukwaa kunahitaji maandalizi yanayoendana na muda na bundle.Jukwaa linapo dorora na kuzama ZZ na wengine pia hujitosa kuliokoa....
Bundle ya maswahiba ni kupiga dili ya pamoja,kubebana na kukingiana kifua......Kuliokoa jukwaa kunahitaji maandalizi yanayoendana na muda na bundle.
Kifua chako Mkuu ni ngao kwetu sote hatufui dafuu hata tukikeshaBundle ya maswahiba ni kupiga dili ya pamoja,kubebana na kukingiana kifua......
Nyingi za rasilimali zayayuka bila tija yoyote kwa nchi....Kifua cha mtu kinabeba elimu nyingi
Tukikesha wanaJF na yukiamua kuchambua la maana hatutakosa kuamka na uvumbuzi uboresha wa maana....Kifua chako Mkuu ni ngao kwetu sote hatufui dafuu hata tukikesha
Maana haitakosekana haswa tukiongozwa nawe muungwanaTukikesha wanaJF na yukiamua kuchambua la maana hatutakosa kuamka na uvumbuzi uboresha wa maana....
Muungwana ahsante, mwema kwa watu ni yule awafaae watu, tunavuna tulicho kipanda....Maana haitakosekana haswa tukiongozwa nawe muungwana
Kipanda... Sababu haupandwi mti kutoka nchaniMuungwana ahsante, mwema kwa watu ni yule awafaae watu, tunavuna tulicho kipanda....
Nchani hunasa pale kulipo kusudiwa na mkuki huchoma kunako..... 'Kipanda... Sababu haupandwi mti kutoka nchani
Kunako...... chomwa kule kwenye kulengwaNchani hunasa pale kulipo kusudiwa na mkuki huchoma kunako..... '