Young Warlock
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 328
- 112
wanaJF wote wanawapinga wanaume wa DarFaiza foxy anatoa salaamu kwa wanaJF
wanaJF wote wanawapinga wanaume wa DarFaiza foxy anatoa salaamu kwa wanaJF
Dar ndiyo jiji lenye mafanikio ya wapigaji diliwanaJF wote wanawapinga wanaume wa Dar
Unahela mfukoni utafatwa na amaizing pippoDar ni mji wenye kila aina ya raha km unahela
tu, mie sintachukuwa mkopoPippo will love u if u have cash if u dont watakupotezea tu
Kulipa matanga wauliza wakopa harusi!!Mkopo kwaajili ya kuvutia watu ni ujinga utaishia kuja kuuziwa vitu vya ndani ukishindwa kulipa
Harusi ya amaizing itafana na kutisha !!Kulipa matanga wauliza wakopa harusi!!
Kutishana humu jf ushakuwa mchezo siku huziHarusi ya amaizing itafana na kutisha !!
Huzi ndiyo nini utakuwa umekoseaKutishana humu jf ushakuwa mchezo siku huzi
Umekosea na ww pia ulivyo I kopiHuzi ndiyo nini utakuwa umekosea
Pipi ya kijiti inapendwa Sana Na watoto.Umekosea na ww pia ulivyo I kopi
Watoto usiwape pipi ya kijiti wape PeremendePipi ya kijiti inapendwa Sana Na watoto.
Hawathaminiwi kwa kuwa ni maskiniMaskini ktk nchi nyingi hawathaminiwi
Maskini ni ukoo,kabila,taifa au nchi ? nauliza ili tulitafakariHawathaminiwi kwa kuwa ni maskini
Tulitafakari kwa kina lengo la huu Uzi na mleta Uzi.Maskini ni ukoo,kabila,taifa au nchi ? nauliza ili tulitafakari
Uzi unapo anzishwa hukusanya vichwa(bongo) vingi hapo ndipoTulitafakari kwa kina lengo la huu Uzi na mleta Uzi.
Ndipo lengo la mleta uzi linapotimia, yaani kutupotezea mudaUzi unapo anzishwa hukusanya vichwa(bongo) vingi hapo ndipo
Muda ni mali kama wasemavyo wazungu "time is money" hivyo tuchakarikieNdipo lengo la mleta uzi linapotimia, yaani kutupotezea muda