Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,996
- 15,118
Kitamkuta jambo lolote huyu mwalimu mkaidi anayehatarisha maisha ya wanafunzi...Kifo ni sehemu ya maisha kwa mwanadamu kila mtu kitamkuta
Kitamkuta jambo lolote huyu mwalimu mkaidi anayehatarisha maisha ya wanafunzi...Kifo ni sehemu ya maisha kwa mwanadamu kila mtu kitamkuta
Kitamkuta naam kila Ntu.siku hiyo hakuna ujanja ujanja.Kifo ni sehemu ya maisha kwa mwanadamu kila mtu kitamkuta
Ujanja ni tabia ya haraka inayotumika kunyakuwa attention kadamunasi !!!Kitamkuta naam kila Ntu.siku hiyo hakuna ujanja ujanja.
Wanafunzi hasa Mimi nimechelewa kumjibuKitamkuta jambo lolote huyu mwalimu mkaidi anayehatarisha maisha ya wanafunzi...
Kaniwahi yule kijana shujaa katika mambo ya kuogelea na kuokoaWanafunzi hasa Mimi nimechelewa kumjibu
Mh Mtebetini Na Mh ZZ kaniwahi.
Kadamunasi hili neno Kama AbunuasiUjanja ni tabia ya haraka inayotumika kunyakuwa attention kadamunasi !!!
Abunuasi alikuwa muIragi na jina lake ni Baba Nawazi !! ila waswahili wakambandika AbuNuasi...Kadamunasi hili neno Kama Abunuasi
Abunuasi na Bulicheka zilikuwa simulizi za kusisimuaAbunuasi alikuwa muIragi na jina lake ni Baba Nawazi !! ila waswahili wakambandika AbuNuasi...
Kusisimua mwiliwako yakupasa kujipakaza masizi na matope kisha ujitose mtoni......Abunuasi na Bulicheka zilikuwa simulizi za kusisimua
Mtoni kujitosa kunataka ushujaa ukijitosa bila tahadhari utakumbana na hatariKusisimua mwiliwako yakupasa kujipakaza masizi na matope kisha ujitose mtoni......
Kusisimua Na kuchekesha sanaaaaa.vitabu vya bulicheka ndio kiboko Kwa utoto. Mgeni siku ya kumi kwa mateke Na Magumi.Na mgeniAbunuasi na Bulicheka zilikuwa simulizi za kusisimua
Mgeni hukirimiwa kilicho kizuri na malipo yake huwa baraka kutoka kwa Mungu....Kusisimua Na kuchekesha sanaaaaa.vitabu vya bulicheka ndio kiboko Kwa utoto. Mgeni siku ya kumi kwa mateke Na Magumi.Na mgeni
Mungu ndiyo kimbilio la binadamu wote duniani si maskini,tajiri kwa dini tofauti rangi mbalimbali wote tunategemea kwake.Mgeni hukirimiwa kilicho kizuri na malipo yake huwa baraka kutoka kwa Mungu....
Kwake tunamilikiwa na kwake tutarudi.., Nae Mungu ndiye mrithi wa kila kituMungu ndiyo kimbilio la binadamu wote duniani si maskini,tajiri kwa dini tofauti rangi mbalimbali wote tunategemea kwake.
Ndii ni neno gani? hebu tueleze siye tusiye yajua hayo !!!Kitu kinachonivutia kwenye video ya ndi ndi ndii ya Jide ni jamaa anayeondoka na CD baada miaka yote waliyoishi na Jide. Nze ndi ndi ndiii navyo roll navyo flow navyo grow.. Nze ndi ndi ndii
Hayo ni mambo ya Jide anayajua yeye.Toll ndiiiNdii ni neno gani? hebu tueleze siye tusiye yajua hayo !!!
Ndii kwa kiSenegal ni rafiki !! wao hutamka "Ndye" Linamo utawachanganya matajiri..!!Hayo ni mambo ya Jide anayajua yeye.Toll ndiii
Gani ni ubani wa akina mtebetini na akina mgogoone na akina saiditawani hao ndo wamiliki....Matajiri gani?