Hb wa Ilala
JF-Expert Member
- Sep 23, 2015
- 1,190
- 1,217
Mshindi ndio mimi mbona umekuja kuniharibia sasa
sasa wewe kubali Yaishe
Mshindi ndio mimi mbona umekuja kuniharibia sasa
Yaishe kwa urahisi,kwani hali bado tetesasa wewe kubali Yaishe
Tete hapa hakuna kinachohitajika nipewe zawadi yangu na thread ifungweYaishe kwa urahisi,kwani hali bado tete
Lazima mshindi apatikane.
Apatikane mara ngapi jamani mshindi ni mimi jakitooLazima mshindi apatikane.
Hizi ni nyakati za sayansi na tekinolojia mwanafunzi hafundishwi kwa vitabuMashuleni hawafundishii vitabu sikuHizi
Jakitoo hushindi labda vilebwe vyako na hata hivyo havita shinda..Apatikane mara ngapi jamani mshindi ni mimi jakitoo
Vitabu nyangu vimeliwa na panya.Hizi ni nyakati za sayansi na tekinolojia mwanafunzi hafundishwi kwa vitabu
Emmy anafurahisha sana, kumbe kuna watu hawafugiki kwenye hii Dunia
Hawafugiki kwa sababu zipi Emmy?
Dunia ina mambo.Emmy anafurahisha sana, kumbe kuna watu hawafugiki kwenye hii Dunia
Mambo mengi nilikuwa siyajuiDunia ina mambo.
Siyajui mi pia. Ni vizuri kama umeyajuaMambo mengi nilikuwa siyajui
Jamii ya wafugajiUmeyajua lakini huyafanyii kazi kwa faida ya jamii
Kadogodogo ni kahenga kenye bikira
Bikira Maria. Za asubuhi wapendwaKadogodogo ni kahenga kenye bikira
wapendwa habari zenu kokote mlipo natumai mungu amebarikia uwepo wetu sote leoBikira Maria. Za asubuhi wapendwa