Jipu
JF-Expert Member
- Apr 20, 2015
- 2,696
- 5,537
Leo ni kesho ya jana.wapendwa habari zenu kokote mlipo natumai mungu amebarikia uwepo wetu sote leo
Sent using Jamii Forums mobile app
sent from kuzimu
Leo ni kesho ya jana.wapendwa habari zenu kokote mlipo natumai mungu amebarikia uwepo wetu sote leo
Sent using Jamii Forums mobile app
Jana yote ilipita bila kupita mitaa ya JF!Leo ni kesho ya jana.
sent from kuzimu
Jf ni sehemu nzuri ya kupata warembo wenye tilesJana yote ilipita bila kupita mitaa ya JF!
Tiles ukimaanisha nini?Jf ni sehemu nzuri ya kupata warembo wenye tiles
Tiles ukimaanisha nini?
You get what you work for not What you wish for 
Humu ndani hakuna jipya. Salamu kwako kaka mpotevu.Nini kinaendelea humu ndani?
You get what you work for not What you wish for
![]()
For whatever reasons, malipo ni malipo tuNini kinaendelea humu ndani?
You get what you work for not What you wish for
![]()
Tuko pamoja bbc. Mzima weye?For whatever reasons, malipo ni malipo tu
Weye pia mzima? Mimi buheri wa afya, naja leo nitaondoka leoleo!Tuko pamoja bbc. Mzima weye?
Kupotea na kukosa muda hivi ni tofauti eee. Basi sawa.Leo ndo nimepata mda sikumaanisha kupotea
You get what you work for not What you wish for
![]()
Sawa, ukikosa muda then unapotea!Kupotea na kukosa muda hivi ni tofauti eee. Basi sawa.
Unapotea hata wewe bbc.Sawa, ukikosa muda then unapotea!
Bbc ya kuona au ya kusikiaUnapotea hata wewe bbc.
You get what you work for not What you wish for 
Kusikia hasikii sijui ana niniBbc ya kuona au ya kusikia
You get what you work for not What you wish for
![]()
Ana nini mi pia sijui. Mzima best.Kusikia hasikii sijui ana nini
Best mid sijambo kabisa.... Za huko kwako swahibaAna nini mi pia sijui. Mzima best.
Swahiba huku kwema. Miss u mingi mingi.Best mid sijambo kabisa.... Za huko kwako swahiba
Miss you mingi mingi pia dear... Leo humu kumepoaaSwahiba huku kwema. Miss u mingi mingi.
Kumepoa kweli hata nami nashangaa ila ukiona hivyo ujue majukwaani kuna mada moto moto. Au kazi zimebana.Miss you mingi mingi pia dear... Leo humu kumepoaa