Mjasiri na Mali
JF-Expert Member
- Jun 24, 2017
- 5,365
- 14,182
Tosha sasa muhenga mwenyewe nimekuja wote tulieniStuli haina haja mimi hata nikikaa ni Muhenga tosha
Tosha sasa muhenga mwenyewe nimekuja wote tulieniStuli haina haja mimi hata nikikaa ni Muhenga tosha
Wahenga wenyewe hata msemo mmoja haujawahi kuusemaTosha kabisa kuwa muhenga wa kweli sio wa kuandika. Haya bwana basi sote mi na wewe wote ni wahenga.
Kuusema msemo mmoja hata sio lazima Daby wacha tuendeleze ya waliopita mwanzo.Wahenga wenyewe hata msemo mmoja haujawahi kuusema
Kutika mi pia sikujui maana yakeKuusema msemo wa mhenga @Zamiluni aliewanukuu wahenga waliosema debe tupu haliachi kutika kumenikumbusha kuulizia maana ya 'Kutika'.
Sent using Jamii Forums mobile app
Maana yake utaipata kwenye kamusiKutika mi pia sikujui maana yake
Google is your friend
Friend of benefitGoogle is your friend
Benefit ndio faida kwa lugha ya kiswahiliFriend of benefit
Kiswahili ndiyo lugha yetu ya TaifaBenefit ndio faida kwa lugha ya kiswahili
Kiswahili cha pwani au mrima?Benefit ndio faida kwa lugha ya kiswahili
Kiswahili ndio lugha mama Tanzania ila haipewi nafasi kama kiingerezaBenefit ndio faida kwa lugha ya kiswahili
Kiingereza ni kigumu ndio maana wengi hatukijuiKiswahili ndio lugha mama Tanzania ila haipewi nafasi kama kiingereza
kiingereza kilikuja na meli jomoniKiswahili ndio lugha mama Tanzania ila haipewi nafasi kama kiingereza

Hatukijui kwakuwa hatupendi kujifunza lugha hiyoKiingereza ni kigumu ndio maana wengi hatukijui
Hiyo lugha si ya mchezo.Hatukijui kwakuwa hatupendi kujifunza lugha hiyo
Mchezo mmmmh bhana mimi ndio mshindi nipeni zawadi yangu
Mshindi ndio mimi mbona umekuja kuniharibia sasaYangu Hio zawadi,tuacheni hapahapa mkubali mimi ndo Mshindi