Gordita
JF-Expert Member
- Nov 4, 2013
- 11,579
- 55,632
Ni nini kuuliza swali kama hilo lakiniMaana ya jukwaa ni nini?
Ni nini kuuliza swali kama hilo lakiniMaana ya jukwaa ni nini?
Mbona unajijibu mwenyewe sasa
Sasa ni muda wa kulala, ingawa wengine tupo safarini.Mbona unajijibu mwenyewe sasa
Sasa ni muda wa kulala, ingawa wengine tupo safarini.Mbona unajijibu mwenyewe sasa
Safarini kuna mambo menigi sanaSasa ni muda wa kulala, ingawa wengine tupo safarini.
Usiku ni muda wa kupumzika baada ya pilika pilika za kutwa nzima
Ngamano iko mkoa gani
Matikiti maji
Machafu kuyanywa bila kuchemsha.
Baraka na Neema ni majina yaliyotumika sana kwenye vitabu vya kufundishia mashuleni
Baraka na Neema ni majina yaliyotumika sana kwenye vitabu vya kufundishia mashuleni