Gordita
JF-Expert Member
- Nov 4, 2013
- 11,579
- 55,641
Shuga shuga shuga..... jumatano leoSouth nimeiona pia, japo hakucheza kama alivyocheza vizuri kwenye shuga
Shuga shuga shuga..... jumatano leoSouth nimeiona pia, japo hakucheza kama alivyocheza vizuri kwenye shuga
Leo amesoma Tanzania pale TanganyikaShuga shuga shuga..... jumatano leo
Tanganyika bus unalikumbuka lakiniLeo amesoma Tanzania pale Tanganyika
Lakini kwanini wewe unaniuliza maswali magumu?Tanganyika bus unalikumbuka lakini
Magumu wapii au wewe sio muhengaLakini kwanini wewe unaniuliza maswali magumu?
Kadogokadogo ndio kama mimi
kadogokadogo!! Muhenga nilokomaa kabisaa
Kabisaa na wewe jakito unasema ni muhenga.kadogokadogo!! Muhenga nilokomaa kabisaa
Muhenga ndio dear[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125]Kabisaa na wewe jakito unasema ni muhenga.
[emoji125] usikimbie sasa.Muhenga ndio dear[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125]
Sasa mbona mnakimbizana[emoji125] usikimbie sasa.
Mnakimbizana nashangaa. Eti unaamini daby kwamba jakitoo ni muhengaSasa mbona mnakimbizana
Muhenga awe jakitoo? Labda kama wahenga wamekwishaMnakimbizana nashangaa. Eti unaamini daby kwamba jakitoo ni muhenga
Sasa mbona mnakimbizana
Kahenga ni thatsit mimi ni muhenga. Vipi na wewe unaukaribia au mpaka upande juu ya stuli.Muhenga [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wewe kahenga
Stuli haina haja mimi hata nikikaa ni Muhenga toshaKahenga ni thatsit mimi ni muhenga. Vipi na wewe unaukaribia au mpaka upande juu ya stuli.
Tosha kabisa kuwa muhenga wa kweli sio wa kuandika. Haya bwana basi sote mi na wewe ni wahenga.Stuli haina haja mimi hata nikikaa ni Muhenga tosha