Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 34,961
- 80,194
Daby ndiye mshindi bora mkalale![]()
![]()
sio kwa ubabe huo daby
Daby kaamsha dude,![]()
![]()
sio kwa ubabe huo daby
hahahahha kama ebitoke.... za jioni wapendwa?Daby kaamsha dude,
Hahahahahaaaaa
Jana mbona nimemuona anakatiza katiza au nilimfananishaWambuzi naskia alipotea kwa kutatanisha mwaka jana
Nilimfananisha siku ya kwanza tulipokutana ila kumbe ilikuwa gia ya kujuana nayeJana mbona nimemuona anakatiza katiza au nilimfananisha
Nilimfananisha, hata sijui nilimfananisha na naniJana mbona nimemuona anakatiza katiza au nilimfananisha
na nani mwingine kama sio daby mzee wa nyumba nyingiiNilimfananisha, hata sijui nilimfananisha na nani
Nyingii siku hizi zipo uswahilinina nani mwingine kama sio daby mzee wa nyumba nyingii
Nyingii ila usawa huu sijui kama ataziwezana nani mwingine kama sio daby mzee wa nyumba nyingii
Uswahilini kuna watoto wazuriNyingii siku hizi zipo uswahilini
Wazuri sana ila wengi hawafugikiUswahilini kuna watoto wazuri
Wazuri mithili ya Malaika?Uswahilini kuna watoto wazuri
Hawafugiki kisa ya mazingiraWazuri sana ila wengi hawafugiki