Alisina
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 4,275
- 4,607
Zimebana sana shida,hakuna kitu kibaya sana hapa Duniani kama shida.Kumepoa kweli hata nami nashangaa ila ukiona hivyo ujue majukwaani kuna mada moto moto. Au kazi zimebana.
Zimebana sana shida,hakuna kitu kibaya sana hapa Duniani kama shida.Kumepoa kweli hata nami nashangaa ila ukiona hivyo ujue majukwaani kuna mada moto moto. Au kazi zimebana.
Shida zikizidi sana unaweza kuadhirika mbele za watuZimebana sana shida,hakuna kitu kibaya sana hapa Duniani kama shida.
Watu wengi hupenda kufurahia shida zikikugalagaza vilivyo..hawana huruma.Shida zikizidi sana unaweza kuadhirika mbele za watu
Hawana huruma kwa sababu wana roho mbaya.Watu wengi hupenda kufurahia shida zikikugalagaza vilivyo..hawana huruma.
Roho mbaya hupewi na mola ni wewe mwenyewe kujipandikizaHawana huruma kwa sababu wana roho mbaya.
Kujipandikiza kweli ila mi huwa nawachukia sana watu wa hivyoRoho mbaya hupewi na mola ni wewe mwenyewe kujipandikiza
Mbaya zaiidi ni kutaka anayehangaika na shida afe kabisa,,hakika kuishi na watu kazi.Hawana huruma kwa sababu wana roho mbaya.
Kazi kubwa mkuu tena sio ndogoMbaya zaiidi ni kutaka anayehangaika na shida afe kabisa,,hakika kuishi na watu kazi.
Si ndogo hasa watu wa kanda ileeeKazi kubwa mkuu tena sio ndogo
Ileee nimeiona na mimi piaSi ndogo hasa watu wa kanda ileee
Ndogo ndogo biashara Ndio zimetusomesha raia wengi tulio masikini wa Tanzania.Kazi kubwa mkuu tena sio ndogo
Tanzania ya viwandaNdogo ndogo biashara Ndio zimetusomesha raia wengi tulio masikini wa Tanzania.
Viwanda au viwonder.... za jioni wapendwaTanzania ya viwanda
Wapendwa sie hatujambo mumy. Mihangaiko vipi?Viwanda au viwonder.... za jioni wapendwa
Wapendwa tupo salama na buheli wa Afya...karibuni tupate bia.Viwanda au viwonder.... za jioni wapendwa
Vipi hapo zamani ukiambiwa unamjibu vipi Ni aina ya vazi.Wapendwa sie hatujambo mumy. Mihangaiko vipi?
Vazi la heshima kwa mwanamke ni lile linalositiri maungo ya mwili.Vipi hapo zamani ukiambiwa unamjibu vipi Ni aina ya vazi.
Mwili unapitia mabadiliko mengi,wengine hupenda wembamba,unene..nkVazi la heshima kwa mwanamke ni lile linalositiri maungo ya mwili.
Mi napenda mwili wa kawaida yani sio mwembamba wala mnene na ndivyo nilivyo.Mwili unapitia mabadiliko mengi,wengine hupenda wembamba,unene..nk
emmyta wewe unapenda wembamba au unene...?