mtebetini
JF-Expert Member
- Jul 5, 2015
- 1,924
- 2,036
Tanzania kuna mlima mrefu barani AfrikaMoja ya mazizi ya mafahari ni Tanzania
Tanzania kuna mlima mrefu barani AfrikaMoja ya mazizi ya mafahari ni Tanzania
Unaendeleaje na ile kazi niliyokuachia?Maana nawapenda nimekuja kuangalia mchezo unaendeleaje.
Utajutia kuja sokoni bila kikapuKweli utelezi sio mzuri, mwisho wake utajutia
Maana ya vitendo vyake havielewekiUtajutia pale utakapokuwa na pesa halafu ukazichezea pasi kufanya cha maana.
Kweli alitaka kukununulia gari?
Makubwa sawa ila utelezi hakuna asiyeupenda kwa kweli...!!
Mjini unafanya nini sasa wakati unazurura? Chukua istGari gani inabana mafuta kwa kuzururia hapa mjini?
Aise kama hiyo bei basi kachukue vile vya watoto vya kuchezea uzurure navyo uviweke kwenye handbagIst bei aise mimi ndo kwanza naanza maisha,ya kuzururia tu aise


Aise kama hiyo bei basi kachukue vile vya watoto vya kuchezea uzurure navyo uviweke kwenye handbag![]()








thatsit unacheka niniKweli alitaka kukununulia gari?
Mimi sijapotea, nipo sana!
Gari ninunuliwe mimi.? Umepotea sana beib..!!
Mjini kuna jua kaliGari gani inabana mafuta kwa kuzururia hapa mjini?
Kali ya mwaka haujui sheria za mchezoMjini kuna jua kali
Poa tu
Hatukutani tatizo..!! Maisha vipi lkn
Nini zaidi ya hizi story hapa?? Zinanifurahisha sana inabd nicheke tu naogopa kuongea nisije kupigwa banthatsit unacheka nini
Mchezo huu wala sijauanza leoKali ya mwaka haujui sheria za mchezo