leiguanan
JF-Expert Member
- Jun 24, 2017
- 618
- 1,905
Poa tu
Ban sijawahi kupigwa na siwezi.Nini zaidi ya hizi story hapa?? Zinanifurahisha sana inabd nicheke tu naogopa kuongea nisije kupigwa ban
Kama mmeshindwa kufuata sheria za mchezo ondokeni. Gadeemu