Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 51,123
- 122,558
Mi mwenyewe ndio hicho huwa kinani amsha mapema piaSaa hizi ilibidi wawe wameamka wanachangamsha mwili, wengine wawahi kwa ibada kama mimi.
Mi mwenyewe ndio hicho huwa kinani amsha mapema piaSaa hizi ilibidi wawe wameamka wanachangamsha mwili, wengine wawahi kwa ibada kama mimi.
Pia mimi. Vipi sasa umeshaamka kweliMi mwenyewe ndio hicho huwa kinani amsha mapema pia
Kweli kumekumekucha salama jua limeanza kuchomozaPia mimi. Vipi sasa umeshaamka kweli
Kuchomoza kwa jua kunafanya kibaridi kipungue kwa mbaliKweli kumekumekucha salama jua limeanza kuchomoza
Kwa mbali namuona mtebetini naye kaamka sasaKuchomoza kwa jua kunafanya kibaridi kipungue kwa mbali
Sasa naweza kutabasamu Emmyta hali yako kumekucha salama?Kwa mbali namuona mtebetini naye kaamka sasa
Sasa mimi naingia kwa misa, nitawaombea nanyi piaKwa mbali namuona mtebetini naye kaamka sasa
Salama salmini mtebetini. Ila hata kunipa pole....Sasa naweza kutabasamu Emmyta hali yako kumekucha salama?
Pole sana kama umesoma vizuri nimesema naweza kutabasamu, pole kwa kuwekwa seloSalama salmini mtebetini. Ila hata kunipa pole....
Selo sio kitu cha mchezo asikwambie mtu. Niwie radhi sija pasoma vizuri. Ila ndio sehemu ya maisha ya jf hivyo hakuna jinsiPole sana kama umesoma vizuri nimesema naweza kutabasamu, pole kwa kuwekwa selo
Jinsi nilivyosikia umekula bani ilinistua kidogoSelo sio kitu cha mchezo asikwambie mtu. Niwie radhi sija pasoma vizuri. Ila ndio sehemu ya maisha ya jf hivyo hakuna jinsi
Hakuna jinsi tulihuzunika sana Kina Mwifwa,Thatsit na wengine wote walisikitikaSelo sio kitu cha mchezo asikwambie mtu. Niwie radhi sija pasoma vizuri. Ila ndio sehemu ya maisha ya jf hivyo hakuna jinsi
Kidogo sasa nina amani. Mzima wewe?Jinsi nilivyosikia umekula bani ilinistua kidogo
Walisikitika kweli tena sana mana mpaka mdogo wangu thatsit aligoma kuingia akisubiri kifungo changu kimalizike.Hakuna jinsi tulihuzunika sana Kina Mwifwa,Thatsit na wengine wote walisikitika
Walisikitika kweli tena sana mana mpaka mdogo wangu thatsit aligoma kuingia akisubiri kifungo changu kimalizike.
Kimalizike hata mimi nilifanya mgomo baridi kwa muda kuchangiaWalisikitika kweli tena sana mana mpaka mdogo wangu thatsit aligoma kuingia akisubiri kifungo changu kimalizike.
Banned, ilishapita bana. Sasa hivi niko tu kama weweKimalizike nini? Wewe si upo banned?
Banned ilishakwisha. Nilikanyaga katiba ya jf my dear. Ila niko huru sasa.Wewe emmyta kwanini ulikua banned?