Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 51,081
- 122,420
Kidogo kidogo tutaelewana tu humustori ile haina maudhui mazuri hata kidogo
Kidogo kidogo tutaelewana tu humustori ile haina maudhui mazuri hata kidogo
Humu leo hamwendi kwenye Jumaa
Shida nini, au hukula dakuJumaa ya leo swaumu kali hata kuinuka nilipo shida...!!
Daku haikai muda mrefuShida nini, au hukula daku
Mrefu kuliko wote afute ubaoDaku haikai muda mrefu
Mrefu kuliko wote afute ubao
Yake..!! Tangu lini?Ubao huu ulimwaibisha mwalimu na chura yake...!!
yake....!! ebu aache uongo chura ile sio yake ni ya mchinaUbao huu ulimwaibisha mwalimu na chura yake...!!
yake....!! ebu aache uongo chura ile sio yake ni ya mchina
Trump ni rais wa MarekaniMchina noma kamtengeneza hadi Trump wa Marekani.,
Marekani ni taifa lenye nguvu dunianiTrump ni rais wa Marekani
Marekani ni taifa lenye nguvu duniani
Pumba hazikwepeki kwa sababu hatujaandika majina yetu halisi hivyo wacha tu tuzipokee pumba zenu.Duniani humu pana mengi usikute hata wew ni shangazi yangu ila Jf nakutolea pumba...!!
Pumba hazikwepeki kwa sababu hatujaandika majina yetu halisi hivyo wacha tu tuzipokee pumba zenu.
Sana unapoanza kubishana na mtu humu kumbe huyo mtu mko naye pamoja mumekaa mnapiga zogo mubashara
Zenu nyie za tofauti sana.......!!
Sana unapoanza kubishana na mtu humu kumbe huyo mtu mko naye pamoja mumekaa mnapiga zogo mubashara
Kutongozana ni tabia mbaya sana katika jamii, madhara yake ni makubwa
Mubashara aibu tupu lakini humu ni fullu kutongozana.....!!
Kutongozana ni tabia mbaya sana katika jamii, madhara yake ni makubwa
Kweli utelezi sio mzuri, mwisho wake utajutia
Makubwa sawa ila utelezi hakuna asiyeupenda kwa kweli...!!