Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 51,079
- 122,417
Utajutia pale utakapokuwa na pesa halafu ukazichezea pasi kufanya cha maana.Kweli utelezi sio mzuri, mwisho wake utajutia
Utajutia pale utakapokuwa na pesa halafu ukazichezea pasi kufanya cha maana.Kweli utelezi sio mzuri, mwisho wake utajutia
Maana nawapenda nimekuja kuangalia mchezo unaendeleaje.Utajutia pale utakapokuwa na pesa halafu ukazichezea pasi kufanya cha maana.
Unaendeleaje wewe uliepoteaMaana nawapenda nimekuja kuangalia mchezo unaendeleaje.
Uliepotea ni wewe aganza. BTW, nimekumiss hadi na suffocateUnaendeleaje wewe uliepotea
Suffocate Kwa ajili ya wala rambirambiUliepotea ni wewe aganza. BTW, nimekumiss hadi na suffocate
Nayo ni km yafuatayo:Yao yameshawashida ila ya Linamo nitamsaidia kudeal nayo
Hayo tu hayatoshi sijui niongezee na mimiNayo ni km yafuatayo:
Kwanza ulikua wapi??
Pili kwa nn hupandi jukwaani?
Tatu na nne na kuendelea watauliza wenzangu me yangu ni hayo.
Mimi na nyinyi hadi kielewekeHayo tu hayatoshi sijui niongezee na mimi
Kieleweke hapahapa vinginevyo hatoki mtu!Mimi na nyinyi hadi kieleweke
Mtu unauliza maswali yote hayo haya nisaidie kuyajibu thatsitKieleweke hapahapa vinginevyo hatoki mtu!
Mtu yoyote anaweza kubaliana na mimi kwamba sasa , nchi inanyooshwaKieleweke hapahapa vinginevyo hatoki mtu!
Inanyooshwa sehemu zilizopinda baadaye itanyooka!Mtu yoyote anaweza kubaliana na mimi kwamba sasa , nchi inanyooshwa
Inanyooshwa sehemu zilizopinda baadaye itanyooka!
Usijali jakitoo, nimekumiss pia, jamani mgeni mwenyeji mnamuona??itanyooka tuu hata usijali
Kusudi la huu uzi ni kupatikana mshindi ila kuna watu wanakiuka masharti
Usijali jakitoo, nimekumiss pia, jamani mgeni mwenyeji mnamuona??