herzegovina
JF-Expert Member
- Oct 28, 2015
- 3,155
- 4,742
Utotoni hakujawahi kumuacha mtu salamaFuraha ni jina langu la utotoni
Utotoni hakujawahi kumuacha mtu salamaFuraha ni jina langu la utotoni
Salama salminiUtotoni hakujawahi kumuacha mtu salama
Salmini amekua dhaifu sku iz tofauti na zamaniSalama salmini
Zamani za kare kulikuwa na sungura na fisi.Salmini amekua dhaifu sku iz tofauti na zamani
Fisi anatamaa sana na hatafuti vya kwakeZamani za kare kulikuwa na sungura na fisi.
Dia we mweusi enhee?Vya kwake anatumia peke yake vyangu anavidandia
Enheee leo nimewabambaDia we mweusi enhee?
Noah wapi bhana, wangezid kufaidi waliowahi kuja mjini, cc tuliochelewa tungekuwa km tulivyoMakinikia naskia yasingepelekwa uko kila mtu angekua na gari aina ya noah
Tulivyo humu ni zaidi ya nduguNoah wapi bhana, wangezid kufaidi waliowahi kuja mjini, cc tuliochelewa tungekuwa km tulivyo
Ndugu wa familia mojaTulivyo humu ni zaidi ya ndugu
Moja kwa moja mpaka kule nilikokwambia tukutane sawa.Ndugu wa familia moja
Sawa sawa Wa mwisho ndio mshindi na mshindi hapatikani..Moja kwa moja mpaka kule nilikokwambia tukutane sawa.
Hapatikani mpaka mwenyewe wambuzi arudi kucomment kidogoSawa sawa Wa mwisho ndio mshindi na mshindi hapatikani..
Hapatikani vp? Kila lenye mwanzo halikosi kuwa na mwisho. Na hadi hapa tumefikia mwisho wa mchezo huu tuonane ktk jukwaa la kupeana likes na makapuku. KwaheriniiiSawa sawa Wa mwisho ndio mshindi na mshindi hapatikani..
kidogo tu inatosha..!!Hapatikani mpaka mwenyewe wambuzi arudi kucomment kidogo