Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 51,133
- 122,588
Dia rafiki acha tu. Ban sio kitu cha mchezo mchezo.Wewe usiniambie...pole dia.
Dia rafiki acha tu. Ban sio kitu cha mchezo mchezo.Wewe usiniambie...pole dia.
Mchezo wa ban ukivunja sheria unakuhusu tu na hakuna namnaDia rafiki acha tu. Ban sio kitu cha mchezo mchezo.
Tumaini twa kuku ni tutamu saanaNamna ya kutatua ile mogogoro kule wanakouana kila asubuhi ni mazungumzo na wananchi tu.
Aise wewe hauna shida na mashuka na nimeshaghairi kukuuziaSaana aise
Kukuuzia mashuka hata sitaki mana nyie ma leiguanan mnayo mengi sanaAise wewe hauna shida na mashuka na nimeshaghairi kukuuzia
Saana tena sio kidogo. Mimi ninamashuka nikiyatandika kutoka bomani kwangu yatafika hadi bomani kwa leiguanan mwingineKukuuzia mashuka hata sitaki mana nyie ma leiguanan mnayo mengi sana
Mwingine leiguanan ni Daby ila sidhani yule kama ana shuka hata moja .....Saana tena sio kidogo. Mimi ninamashuka nikiyatandika kutoka bomani kwangu yatafika hadi bomani kwa leiguanan mwingine
Moja ya vitu leiguanan anatakiwa awe navyo ni shuka kama hana ni leiguanan uchwaraMwingine leiguanan ni Daby ila sidhani yule kama ana shuka hata moja .....
Kiswahili chako kinapanda lakini nisije nikaanza kukuelezea ukabaki kinywa wazi kama tikiti lililotobolewaUchwara ina maana gani kwa kiswahili?


Nini wewe ebu nipe like kwanzaLililotobolewa kwa kutumia nn![]()
Nini usichokijua au lengo lako tu uniuumbue?Kwanza sema limetobolewa kwa kutumia nini?
Mwingine hawezi kuwepo kwani waswahili walinena mafahari wawili hawakai zizi mojaMkuu ni mmoja tu hakuna mwingine
Moja ya mazizi ya mafahari ni TanzaniaMwingine hawezi kuwepo kwani waswahili walinena mafahari wawili hawakai zizi moja