Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

Wakikumiss na wewe ntafanyaje? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu nawapenda sana so kwa mahaba haaya hahahahahahahaha ntakupatia
Ntakupatia mhmhh jamani hii kauli mbona inamaanisha nitarajie mwakani kupewa namba
 
Utani mwingine kaka haufai, hebu niambie taratibu tu we ni jinsia ipi
Ipi dada tujadili jamani eeeh hadi wewe wangu, mimi ni me jamani seriously na natafuta mpenzi wa kike sasa na unalijua hili sakayo
 
Jamani gbefa umekuwaje tenaa
Tenaa Gadna ana roho ngumu nakumbuka ile kauli yake ilyofanya watu watokwe na mapovu kama wanakata roho "mwanamke nimekojolesha miaka kumi na tano ajabeba ujauzito sasa najiuliza nilikuwa namkojolesha mbege sijui" mwisho wa nukuu, hivi huyu jamaa ni komando enhee maana ana ujasiri ambao sio wa dunia hii..
 
Back
Top Bottom