mamaafacebook II
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 2,513
- 3,553
Ndugu yangu nilitingwa nimerudi Sasa mnisameheNimewamiss jamanii, Mamaafacebook ulitutupa mno ndugu
Ndugu yangu nilitingwa nimerudi Sasa mnisameheNimewamiss jamanii, Mamaafacebook ulitutupa mno ndugu
7 years, aisee nisalimieSaana umenipiga gap parefu mkuu almost 7 years
Wewe acha tu nilitingwaNimewamiss kitambo ujaonekana humu wewe
Miss you mnooooI miss you
Nilitingwa pia lakini si kwa kiwango chakoWewe acha tu nilitingwa
Nisalimie ndugu zangu wa mjini dar siku moja nitakuja kushangaa7 years, aisee nisalimie
Mnooo kwani ulikuwa wapi makaa fbMiss you mnoooo
Mnoooo hunishindi mimiMiss you mnoooo
Kushangaa wapi tenaa, acha kunichengaNisalimie ndugu zangu wa mjini dar siku moja nitakuja kushangaa
Mimi nilipata wasi wasi juu yakoMnoooo hunishindi mimi
Kunichenga hivyo me sipendi nitakupiga mabuti mwisho refa anionyeshe kadi nyekunduKushangaa wapi tenaa, acha kunichenga
Mkuu wewe jipuuKe ni kifupi cha Kenyans employees![]()
![]()
![]()
umeelewa mkuu
Yako mawazo yaondoe Mimi mzima wa afya nikipotea Tena aulizwe shemeji yangu KitukoMimi nilipata wasi wasi juu yako
Nimewamiss etiiiiii mbona unatutesa hivyo mpaka Cc kituko ndiyo akuitee jamani, mimi ndiyo sikuwezi kipenzi, nimekumiss sana pia, umeadimika mpaka ninakusahauMamaafacebook nasema nimewamiss