supermarket
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,453
- 10,968
Kabisa juzi alikuwepo kwenye miss Tanzania na pia alijenga uwanja wa basket ball shuleni kwa ajili ya wanafunzi wapate kufurahia michezoJokate nimemsahau kabisa
Kabisa juzi alikuwepo kwenye miss Tanzania na pia alijenga uwanja wa basket ball shuleni kwa ajili ya wanafunzi wapate kufurahia michezoJokate nimemsahau kabisa
Mimi sina neno kuhusu hiloNyie ni binadamu na sisi ni binadamu, tupendane, tuheshimiane na tuthaminiane kwa utu sababu hakuna tofauti kati yetu wewe na mimi
Miss Tanzania wa mwaka huu anaitwa Dayana alikabidhiwa kijiti na Lilian Kamazima yule wa kwenye kipindi cha nivanaJokate ni yule aliyeshiriki miss tanzania
Miss Tanzania wa sasa anaitwa DianaJokate ni yule aliyeshiriki miss tanzania
Michezo huimarisha afya, mie napenda kumuita kidotiKabisa juzi alikuwepo kwenye miss Tanzania na pia alijenga uwanja wa basket ball shuleni kwa ajili ya wanafunzi wapate kufurahia michezo
Diana amepost picha yupo kwenye maandalizi ya miss world, uzuri nimeona mamiss wanacheza wimbo wa manfongo hainaga ushemeji, huku wanasema we love u manfongoMiss Tanzania wa sasa anaitwa Diana
Unauma lakini hukuweka huruUkweli unauma
Au kwa kifupi nikuelezee kwamba ni kipindi kinarushwa Jumanne EAtv saa 3 usiku kinazungumzia mambo ya mitindo na uremboNivana ni kipind hicho au
Au ni nani amesema NivanaNivana ni kipind hicho au
Kidoti ni mschana mzuri sana mwaka 2006 alichukua nafasi ya pili baada ya namba 1 miss wema sepetuMichezo huimarisha afya, mie napenda kumuita kidoti
Manfongo sio mtu wa mchezomchezo, anakulaga hadi mashemejiDiana amepost picha yupo kwenye maandalizi ya miss world, uzuri nimeona mamiss wanacheza wimbo wa manfongo hainaga ushemeji, huku wanasema we love u manfongo
Shemeji shemeji huku anazima taaManfongo sio mtu wa mchezomchezo, anakulaga hadi mashemeji
Urembo ni mzuri sanaAu kwa kifupi nikuelezee kwamba ni kipindi kinarushwa Jumanne EAtv saa 3 usiku kinazungumzia mambo ya mitindo na urembo
Wema sepetu alichukua taji la ushindi la miss tanzania mwaka 2006Kidoti ni mschana mzuri sana mwaka 2006 alichukua nafasi ya pili baada ya namba 1 miss wema sepetu
Anazima taa ili asione aibuShemeji shemeji huku anazima taa
Natural skin iko poa zaidi kuliko kujichubuaSana yaani hasa ukiwa natural
Natural ndo yangu asiliSana yaani hasa ukiwa natural