Simara
JF-Expert Member
- Oct 1, 2014
- 7,561
- 23,991
Mbaya ni kutokwenda leo kanisani kisa jana umekunywa pombeUbarikiwe na wewe pia siku moja moja kuwaza mema sio mbaya.
Mbaya ni kutokwenda leo kanisani kisa jana umekunywa pombeUbarikiwe na wewe pia siku moja moja kuwaza mema sio mbaya.
Wapi tunaelekea maana dunia ya sasa utandawazi unaharibu vijana ushoga na madawa ya kulevya yamekuwa majangaMengi tu niliyonayo vipi kaka kituko huyu umechimbua wapi
Pombe inadhalilisha sana watuMbaya ni kutokwenda leo kanisani kisa jana umekunywa pombe
Viatu vipo aina nyingi ni weww tu kuamua unataka aina ganiWatu na viatu
Aina gani ya uzuri aliokuwa nao Cleopatra kumzidi Aisha wangu wa moyoViatu vipo aina nyingi ni weww tu kuamua unataka aina gani
Moyo wangu sukuma damu kumpenda mamaafacebook ni kiherehere tuAina gani ya uzuri aliokuwa nao Cleopatra kumzidi Aisha wangu wa moyo
Moyo ni mdanganyifu kuliko vitu vyoteAina gani ya uzuri aliokuwa nao Cleopatra kumzidi Aisha wangu wa moyo
Vyote vyanguMoyo ni mdanganyifu kuliko vitu vyote
Vyangu mwavitaka vyenu mwavificha bila aibuVyote vyangu
Aibu niliyoipata leo ni kubwa kwa kweliVyangu mwavitaka vyenu mwavificha bila aibu
Wangu wa moyo mzma?Aina gani ya uzuri aliokuwa nao Cleopatra kumzidi Aisha wangu wa moyo
Mzima kabisa, habari za wewe apo mkuuWangu wa moyo mzma?
Mzima wa afya tele. Hofu kwakoWangu wa moyo mzma?
Mkuu niko poa namshukuru munguMzima kabisa, habari za wewe apo mkuu
Kwako maisha yanaendaje?Mzima wa afya tele. Hofu kwako
Yanaendelea Pouwa ,ndo kwanza mwezi wa kwanzaKwako maisha yanaendaje?
..Mungu Ni mkubwa sanaMkuu niko poa namshukuru mungu
Mungu ametuumba kwa mfano wake, hujambo aishaMkuu niko poa namshukuru mungu
Kwako kitaa nasikia mkuu wa mkoa makonda anapita mtaa kwa mtaa kutafuta takwimu halisi ya vijana wasio na ajira,Mzima wa afya tele. Hofu kwako