Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Mke mwema mtu hupewa na MunguKosa moja halimwachi mke
Mke mwema mtu hupewa na MunguKosa moja halimwachi mke
Marufuku tena, mbona ndo wamenipaaMseto serikali wamezipiga marufuku![]()
Sikukuu tu huwa unapotea baby halafu unaibuka from nowhere after tumekumissKwao mbali barabara nazo mbaya inabidi awe anakwenda mara chache kipindi cha msimu wa sikukuu
Kanisani kweli sikwenda dada nilikuwa home na nguo niliacha huko gheto machuoni lakini muumba atanisamehe tu wiki ijayo itakuwa poa zaidi nitakwendaPia wewe apo hujaenda kanisani
Mke mwema hutoka kwa munguKosa moja halimwachi mke
Mungu anatoa njia ya kumpata mke mwemaMke mwema mtu hupewa na Mungu
mungu au Mungu? Au ulipitiwa mkuuMke mwema hutoka kwa mungu
Mkuu, kuna wakati watu huandi wakitamkacho na si vile itakiwavyomungu au Mungu? Au ulipitiwa mkuu
Nitakwenda pia hata mie, itabidi nikukumbusheKanisani kweli sikwenda dada nilikuwa home na nguo niliacha huko gheto machuoni lakini muumba atanisamehe tu wiki ijayo itakuwa poa zaidi nitakwenda
Mwema mpaka nawe utashangaaMungu anatoa njia ya kumpata mke mwema
Nikukumbushe tu Mimi hapa nimezaliwa mwaka.... Mwaka huu natimiza miaka ishirini na kituNitakwenda pia hata mie, itabidi nikukumbushe
Mkuu ni Mungu banah ila you cant avoid typing error,mungu au Mungu? Au ulipitiwa mkuu
Ishirini na kitu kama mie tu ila mie niko mbali saanaNikukumbushe tu Mimi hapa nimezaliwa mwaka.... Mwaka huu natimiza miaka ishirini na kitu
Mamaafacebook nasema nimewamissUsoni umepaka nini shemu wake mamaafacebook
Saana umenipiga gap parefu mkuu almost 7 yearsIshirini na kitu kama mie tu ila mie niko mbali saana
Zako mikurupusho nimeziona nimerud Shem lakeMwaka mpya namshukuru Mungu, ngoja nimkurupue mamaafacebook II aje kupokea salamu zako
I miss youWadau wote mliopo kwenye list niwatakieni Jumapili njema nyie na familia zenu, na vyema mpigie Mungu goti mlilie akupe hitaji la moyo wako, Nawakubali sana my online friends viva amani na upendo
Sakayo,
antidot,
atug,
Black womani,
gbefa,
kituko,
Mamaafacebook
Aishah2016,
Anna leonard,
dem boy,
stacia,
Ngalikihinya,
Hb wa ilala,
Tetramelyz,
Bbc,
amazing,
namge,
inconvenient Truthsringson
Nimewamiss jamanii, Mamaafacebook ulitutupa mno nduguMamaafacebook nasema nimewamiss
Nimewamiss kitambo ujaonekana humu weweMamaafacebook nasema nimewamiss