dem boyz
JF-Expert Member
- Nov 4, 2016
- 7,340
- 16,909
Mkuu mm nna kitu cha university directWanduguuu kuingia jf ingekuwa bure yaani sijui ingekuwaje maana tunaingia na mb lakini kuna watu hawakaukiwi mb kama wewe apo mkuu
Mkuu mm nna kitu cha university directWanduguuu kuingia jf ingekuwa bure yaani sijui ingekuwaje maana tunaingia na mb lakini kuna watu hawakaukiwi mb kama wewe apo mkuu
Mtazamo tuu ni kweli, ila jua wapo ambao akishakujua kwa hili, basi hata ubadirike vipi yeye anakutazama vile vile maisha yoteMilele usimchukulie vibaya sababu ya mawazo yake, huwa ni mitazamo tuu
Boy tena mie mdada wa nguvu, niko kwenye dozi mkuuMkuu pole iendee hosp malaria nayo haiko nyuma boy![]()
![]()
![]()
![]()
Yote ni majumuisho yanayotokana na tofauti zetu wanadamuMtazamo tuu ni kweli, ila jua wapo ambao akishakujua kwa hili, basi hata ubadirike vipi yeye anakutazama vile vile maisha yote
Wanadamu wengine wamezidi, wao hujumuiya mabaya tu ya muhusika. Unaweza ukadhani anayejumuishiwa hana mazuriYote ni majumuisho yanayotokana na tofauti zetu wanadamu
Mkuu sorry najua ni mdada ila nimeghafirika kidogo kula kunywa plus na dozi utakuwa fineBoy tena mie mdada wa nguvu, niko kwenye dozi mkuu
Yote maisha tu mkuu, nikuwachukulia simple maana huwezi kuwa mwema kwa kila mtuMtazamo tuu ni kweli, ila jua wapo ambao akishakujua kwa hili, basi hata ubadirike vipi yeye anakutazama vile vile maisha yote
Mtu kwaoYote maisha tu mkuu, nikuwachukulia simple maana huwezi kuwa mwema kwa kila mtu
Fine u don't have to worry, nimekusoma mkuu ndo nijipinda na msetoMkuu sorry najua ni mdada ila nimeghafirika kidogo kula kunywa plus na dozi utakuwa fine
Mseto serikali wamezipiga marufukuFine u don't have to worry, nimekusoma mkuu ndo nijipinda na mseto

Kwao ni jirani na kwenu auMtu kwao
Kwao huwa kuna vipaji sana hasa vpaji vya mpiraMtu kwao
Kwao mbali barabara nazo mbaya inabidi awe anakwenda mara chache kipindi cha msimu wa sikukuuMtu kwao
Kosa moja halimwachi mkeMazuri yote huwa yanasahaulika pale tu unapofanya kosa moja,,
Mseto naskia noma,ule na unywe kisawasawa,get well soon sakayoFine u don't have to worry, nimekusoma mkuu ndo nijipinda na mseto
Siku kuu kwisha mkuu, umepotea sana mamy ake, kwemaaaKwao mbali barabara nazo mbaya inabidi awe anakwenda mara chache kipindi cha msimu wa sikukuu
Pia wewe apo hujaenda kanisaniAu hata kwa wakwe na wakamwana pia
Sakayo hata simu naiona kwa mbaaali, ila usijali mkuu napeleka msosi si kawaidaMseto naskia noma,ule na unywe kisawasawa,get well soon sakayo